Recent content by Taiq

  1. Taiq

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kwa nini hamtoi majina ya watumishi waliohama?

    Habari za leo? Ndugu zangu nimefikia uhamuzi huu wa kuuliza ni kwa nini Tamisemi haitoi majina ya watumishi waliopata uhamisho? Jibu ninalofikiria binafisi ni kutokana na kuwepo na uvunjifu wa sheria za uhamisho na hivyo basi wahusika kuamua kuficha uvunjifu huo. Hivi karibuni kumekuwepo na...
  2. Taiq

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Utumishi wa Umma na TAMISEMI mtutendee haki katika Suala la UHAMISHO WA WATUMISHI

    Kwa kuwa swala lenyewe liko kisheria. Mi naomba wahusika watende haki na wapunguze urasimu.
  3. Taiq

    JamiiForums Tanzania Tanzania ichukue maamuzi magumu ijenge kinu cha kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe

    Muda ukifika kitajengwa na kunauwezekano mkubwa kikajengwa kinu cha nuclear.
  4. Taiq

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

    Huyo amejulikana, je watumishi mafisadi wasiojulikana ni wangapi? Kumbe hii nchi ni tajiri. Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  5. Taiq

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya Utumishi ni chanzo cha kutafutana na kuhujumiana

    Ndugu wanajanvi wenzangu leo napenda kuleta uzi huu unaohusiana na vikwazo, hujuma na ukandamizaji unaotokana na mifumo ya kielectronic iliyoanzishwa na serikali kwa lengo la kupunguza gharama na kumtua mzigo mtumishi, lakini cha kushangaza mifumo hii imegeuka kuwa mwiba kwa baadhi ya...
  6. Taiq

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Huenda tuna kizazi bora zaidi kaburini kuliko hiki kilichopo leo

    Naunga mkono kauli yake ambayo inazungumzia ukweli ambao watu wengi hawaupendi. Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  7. Taiq

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya elimu fuatilieni shule binafsi za msingi zinazokiuka maagizo ya Serikali

    Mwanzo nilifahamu jukwaa hili ni huru, lakini cha kushangaza uhuru haupo maana vitendo vya kufutiana maoni vimekithili sana. Hofu yangu ni kuwa wahusika wapo kimya anayefuta maoni ya watu kama sisi ni nani na anaajenda gani? Narudia tena kwa mara nyingine swala la kufudisha nyakati za likizo...
  8. Taiq

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya elimu fuatilieni shule binafsi za msingi zinazokiuka maagizo ya Serikali

    Tatizo la kukiuka taratibu na miongozo ni kubwa sana nchini. Tatizo hili uchangiwa na viongozi ambao ni wapenda sifa na wasio waadilifu katika kusimamia elimu. Kiutaratibu mtoto anapaswa kusoma siku 194 kwa mwaka na siku zilizobaki ni za kupumzika. Ushauri wangu ni kwamba, kama itapendeza...
  9. Taiq

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

    Mwenyezi Mungu akulinde na akupe wepesi na umri mrefu ili uendelee kuwa mwakilishi wake duniani. Nami pia naungana na wewe kwa taarifa yako yenye kuakisi maovu mengi ya kweli ambayo walimu wanakutana nayo kazini na maovu hayo yote yapo na yanatendeka kimfumo katika ngazi mbalimbali za kiungozi...
  10. Taiq

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa na mbinu ya kuweka TV kwenye mikusanyiko ili kuhadaa wapiga kura

    Kura ni Siri yako, acha waweke lakini cku ikifika nenda kafanye kitu ambacho moyo wako unapenda.
  11. Taiq

    JamiiForums Tanzania Zamani kuiba Madini yetu ni lazima Uombe kujenga Barabara, Reli au Makanisa ya porini, siku hizi wanaiba Kiulaini kwa Gia ya Uwekezaji!

    Akili ni kitu cha muhimu katika maisha ya mwanadamu. Jamii yoyote iliyojikomboa zaidi katika kudhibiti wizi ni ile iliyowekeza mtaji katika kutokomeza wezi kwa kutumia mbinu mbalimbali. Nilitegemea kuona vijana wakitoa mbinu mbadara za kudhibiti wizi wa madini, lakini cha kushangaza hakuna hata...
  12. Taiq

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda apewe Ubalozi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati au Burundi?

    Hiyo ni kama adhabu kwake. Au mmepanga kumuadhibu kichini chini? Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
  13. Taiq

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watumishi wilaya ya Momba tumechoka kunyanyaswa na Mwenyekiti wa Halmashauri

    Kwanza nakupongeza kwa kuwasemea wengi amboa ni waoga wa kudai haki zao. Pia naungana na wewe keto ya malimbikizo ya pesa za nauli, mshahara na nyinginezo imekithili serekalini na hii inatokana na mtandao wa wezi ambalo umekuwepo ngazi ya halmashauri mpaka taifa. Kiukweli jambo hili si jema kwa...
  14. Taiq

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

    Kukopa sio tatizo ila tatizo ni usimamizi wa mkopo husika na mara nyingi katika nchi yetu usimamizi wa mikopo si mzuri hali inayopelekea hasara. Hasara hii inatokana na mikono michafu ya wasimamizi (wapigaji) wanaopewa dhamana na kukosa weledi katika usimamizi, hali hii hupelekea lengo la mkopo...
  15. Taiq

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6

    Safi sana. Umenikumbusha ile topic ya rate and variation. 1$=2600 Tsh 1000,000,000$=2600*1000,000,000 =2.6 Trillions TSH. Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom