Recent content by Tai Ngwilizi

 1. Tai Ngwilizi

  Duru za siasa : Uchaguzi ni juu ya ilani/sera na hatma ya nchi

  Baada ya kupitia ilani /dira ya chadema, azimio la Tabora na ilani ya CCM, nimekuwa dissapointed na CCM, Dira ya nchi ni MKUKUTA ambao kiini chake ni nchi za nje, ili ku seal hii dira wameichukua na kuiingiza kwenye ilani ya chama, lini tutatoka kwenye madeni ya world bank etc , lini...
 2. Tai Ngwilizi

  Simbachawene: Mitambo ya kuchakata umeme wa gesi sio ya serikali ni mali ya mtu binafsi

  Swali la msingi hapa ni Je kwa mujibu wa mikatabailiyosainiwa kati ya serikali na makampuni yaliyopewa leseni za kutafuta nakuchimba gesi ,serikali itapata asilimia ngapi ya faida pato la gesi namakampuni ya BG group / na Ophir yanayomiliki leseni za vitalu namba 1, 3 na 4 naExxon Mobil...
 3. Tai Ngwilizi

  Simbachawene: Mitambo ya kuchakata umeme wa gesi sio ya serikali ni mali ya mtu binafsi

  Hiyo Symbion ndio muendelezo wa Richmond, mitambo yenye utata ya Richmondaliuziwa Dowans, na baadae ikamilikiwa na Symbion hadi sasa, yote yalifanyikawakati Lowasa ameshaondoka kwenye uwaziri mkuu. Swali ni kwa nini Serikali inaendeleakuitumia hii mitambo na kuiruhusu iendelee kupata tenda ya...
 4. Tai Ngwilizi

  Operesheni Zinduka 3 - Kamari ya Mbowe na Lowassa yaweza kulipa kweli (Incl. transcript)

  Hata mimi nilidhani hivyo kwa CDM ila sasa nimegundua kwamba kwa jinsi mambo yalivyokuwa nyuma ya pazia kwa upande wa Slaa, na kwa kumsikiliza aliyosema pale Serena na kwenye vyombo vya habari baadaye, nachelea hali ya CDM ingekuwa mbaya, Nani alijua kwamba Slaa angeweza kugeuka kushoto na...
 5. Tai Ngwilizi

  Putin sends in his most ruthless special forces killers to finish off jihadist

  Bora wawaondoe ISIS, raia wa Middle east waishi maisha ya amani kidogo
 6. Tai Ngwilizi

  Operesheni Zinduka: Makosa 2 ya Dr. Slaa na 1 la Freeman Mbowe

  1. Kukatwa kwa slaa Slaa mwenyewe alitamka pale serena kwamba tatizo halikuwa uraisi na hakukatwa, alichaguliwa na kuthibitiwa, lakini "uraisi sio wake" , na hata 2010 aliombwa kugombea. Kwa hiyo basi Slaa hakuona tabu kuwepo kwenye mchakacho wa kutafuta mtu atayefaa kuwa raisi. Kauli zako...
 7. Tai Ngwilizi

  Juu ya utumishi wangu kwenye "Taasisi" ile ninapohakikisha treni la EL linatema abiria wake

  Hii taasisi ya 'ukweli' ni ya aina yake na inavutia sana, ila haiwezi kutumika katika siasa hatuwezi kuwaweka wanasiasa kwenye taasisi ya ukweli, hasa siasa za Tanzania, kwa sababu wanasiasa wana tenda kazi kwa makundi, wanafunikiana makosa kwa makundi, wanafanya madili kwa makundi, wanapigania...
 8. Tai Ngwilizi

  Kikwete kulalamika majukwaani

  Kwa nini kashindwa hata kumtaja jina Lowasa kama mmliki wa richmond , kwa nini hakusema live "richmond ni ya Lowasa" kama alivyosema Tundu Lisu kwamba richmond ni ya Kikwete? Kama richmond ni ya Lowasa Dowans na symbion ni za nani? Kama Lowasa ni mmiliki wa richmond kwa nini JK aliruhusu apewe...
 9. Tai Ngwilizi

  Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

  Wameshikwa pabaya....Na yule kinara wa kukwiba kura nae amejiunga ukawa sasa anasaidia kulinda kura
 10. Tai Ngwilizi

  CHADEMA/UKAWA: Uwekezaji usiotabirika

  Nimesikiliza clip yote sijaona alipoomba kura, nimesikia anaomba aombewe, labda kama nime miss habari kamili
 11. Tai Ngwilizi

  CHADEMA/UKAWA: Uwekezaji usiotabirika

  Siasa za Tanzania zimekuwa kichekesho,yaani kweli huu yashutuma zote alizotoa Slaa mwenyewe , ananon'gonezwa kwamba Lowasa kahonga maaskofu 30 halafu bila kuchunguza ana jiunga kwenye mazungumzo ya kumkaribisha chamani na kumsikiliza na kumuwekea masharti? Nasema kujiunga na mazungumzo kwa...
 12. Tai Ngwilizi

  CHADEMA/UKAWA: Uwekezaji usiotabirika

  Jibu la swali kamba Dr alimkaribisha Lowassa kama naninadhani linapatikana kutoka kwa maelezo ya Slaa mwenyewe kasema "kiongozi ambaye anaenda kuwa raisi wa nchil azima awe na wafuasi nyuma yake" akaendelea kusema… "anakuja peke yake au anawafuasi wa kutosha nyuma yake? Na wafuasi hao wa...
 13. Tai Ngwilizi

  CHADEMA/UKAWA: Uwekezaji usiotabirika

  kuna vipengele vya maelezo ya Slaa ambavyo sievielewi bado, kwa ujumla inaonekana kaosha mikono na ameweka lawama zote za ujio wa Lowasa kwa wengine, hii itamcost sana baadaye kwa mtizamo wangu 16. Nilitaka kujua ni mtaji gani lowassa atakuja nao na ni viongozi gan atakuja nao. 17. Nilijibiwa...
 14. Tai Ngwilizi

  CHADEMA/UKAWA: Uwekezaji usiotabirika

  Naam, hata mimi nilidhani Mbowe ndio alifuatwa aka shauri wenzie, kumbe mposaji alikuwa Slaa Gwajima mshenga
 15. Tai Ngwilizi

  Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

  Kigamboni wamesema magufuri no kupiga mbizi no kura
Top Bottom