Recent content by tagamwa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuona umuhimu wa Himid Mao kwenye Timu ya Taifa?

    Hizo timu ambazo wewe unaziona ndogo, basi zinagombaniwa na wachezaji wa nchi nyingi za kiafrica wapate nafasi japo ya kusajiliwa... Kumbuka ya kuwa ligi kuu ya Misri ni moja kati ya ligi bora tatu za Africa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuona umuhimu wa Himid Mao kwenye Timu ya Taifa?

    Wale wanaosema Ninja anabebwa na Baba ake watakuwa na chuki nae tu, kuna wachezaji wangapi wa zamani ambao Baba zao walikuwa wachezaji wazuri sana lakini wameshindwa kufanikiwa kwenye soka Binafsi naamini Himid anasonga mbele kwa uwezo na nidhamu yake ya juu katika soka Baba ake alikuwa Star wa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Wachezaji wetu wanaocheza nje ya nchi hawajajiongeza kutusaidia mapambano dhidi ya Corona?

    Kwanini wawe wanaocheza nje peke yao ? Je wa hapa nyumbani wao hawastahili kuchangia chochote Kutoa ni moyo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    JamiiForums Tanzania Salvatory Edward Vs Shekhan Rashid

    Hiz Salva alikuwa mtu zaidi ya shekhan Rashidy Lakini hizo stori za uturuki sijui dirisha kakuta limefungwa ni stori ambazo wachezaji wote wanajificha kwenye kimvuli hicho Salva alishindwa kucheza moira uturuki akazuga zuga kidogo akarejea Tz kuendelea kucheza Yanga Sent using Jamii Forums...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuona umuhimu wa Himid Mao kwenye Timu ya Taifa?

    Himid Kwangu ni mchezaji mzuri sana aliyepitia ngazi zote za uchezaji, alianza kucheza Copa coca ya ile kwanza kisha achaguliwa kwenye kikosi kilichoenda Brazil na kubeba tuzo Baada ya kurudi hapo akaendeleza kucheza timu za vijana za ngazi zote hadi timu ya Taifa uko pote alifanikiwa kuwa mmoja...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutatua tatizo la kutokwa jasho isivyo kawaida!

    Inapatikana wapi ? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. T

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutatua tatizo la kutokwa jasho isivyo kawaida!

    Inapatikana maduka yapi ? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mtanzania mwingine auawa Durban kwa kupigwa risasi

    Ngada ndio biashara inakutoa kwa haraka zaidi South Africa, so karibu kila mmoja anatamani kutoka kimaisha Sent using Jamii Forums mobile app
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mtanzania mwingine auawa Durban kwa kupigwa risasi

    In short marehemu Sheby alikuwa muuza ngada, na amedhurumu mzigo wa watu mwingi sana wenye mali ndio wameamua kumalizana nae kwa aina hio Mungu amuweke panapomstahili Sent using Jamii Forums mobile app
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatutengenezi barabara za zege tunakomaa na lami?

    Nimeshaziona barabara za zege tatu kwa mkoa wa Dsm Moja inaanza kimara korogwe jirani na mwendo kasi inaeleka sehemu inaitwa Kilungule na nyingine mbili nimeziona Mwananyala Sent using Jamii Forums mobile app
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Hahaaa... Et nani Ronaldo Uko ndio wapi ? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo nataka kuweka laki moja natafuta odds ya 3 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho naweza tumia kufanya nisitoke jasho kwapani?

    Kwa Dsm zinapatikana wapi ?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Nadhani kuna tatizo zaidi la usafi Nina jamaa yangu yeye ata akitoka kuoga baada ya dk 5 kikwapa kinatoa harufu , kashaoga sana limao lakini bado
Back
Top Bottom