Recent content by Taffman

  1. T

    JamiiForums Tanzania Maswali ya kujiuliza juu ya misaada ya fedha anayopewa Rais Samia

    Huo ni mkopo nafuu au Grants....uwe unatumia akili kdg hlf acha makasiriko rais ni SSH yule wa kwenu hayupo tena,pesa za makusanyo zinalipa madeni ya hiyo miradi mingi ya kihayawani aloanzisha mwendazake pmj na kulipa wafanyakazi,mliingiza nchi ktk mikopo ya hovyo na miradi bila kuangalia...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha ugomvi wa January Makamba na Musukuma?

    Sukuma gang zamu yenu imeisha kubalini tu sasa wenye nchi yao wanayo na wanafanya mambo kisomi sio hadithi za kusadikika kuwa tunaweza kusaidia nchi za ulaya kwakuwa ss ni matajiri sana
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu tuambie: Ni mwanaume mwenye tabia zipi huwezi kuwa naye kwenye mahusiano?

    Duh...km hiyo
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unachotakiwa kufanya ukiona mpenzi au mke ameanza kujitenga na wewe?

    Kuna jambo halipo sawa baina yenu kubwa ni kukaa pmj na kuzungumza yanayowasibu,hakuna linaloharibika ktk mazungumzo lkn pia ikishindikana unamwacha aende ht km kuna maumivu
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ile ndoa imesambaratika!

    Safi sana hili ni boooooooonge la jb wkt sk hz tu ukianza mahusiano nae cha kwanza ni kuanza kujileta nyumbani kwa mwanaume,kufua,kupika mwisho wa sk unatiwa mimba hatimae unaomba kuolewa....nyinyi wenyewe mnajirahisisha(sk zt mwanaume ndio kichwa cha familly...ndio kiongozi na hakuna mwanaume...
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mwanamke anaweza kumuacha mtu anae

    Sijaona ulichoandika cha maana dada kasie,ni mwanaume gani ambaye hajiamini wala hatimizi majukumu yk?problem kubwa ni kwenu wadada wa sasa,wengi wenu c wakweli na mna tamaa sana na kupenda kuiga maisha ya wengine,wengi wenu mmeanza kale ka mchezo mapema sana,ni aghalabu kwa maisha ya sasa...
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 15 ya msingi sana kuyajua ili uishi na wenzio vizuri

    Ujumbe mujarab kbs
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpende sana mama yako..

    Mama
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume punguzeni shobo kwa mabinti, mnazingua

    Thats very vjna tafuteni pesa,jishughulishe acha kulialia uonewe huruma na mademu ni ujinga wa kiwango cha lami
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bonge La Bwana.... Madataa....

    Kasie hakika ww ni miongoni mwa waandishi wazuri sana hasa wa ma lovee,mie naomba nikuite kasie mahaba...ubarikiwe mama
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How can I peacefully end a relationship my mother does not support?

    Hard to advice
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni dada yangu ila anakataa undugu, ananifanyia visa ilhali ni dada yangu

    Owa sheikh,acha uzinzi
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Should I Say Yes....... Should I Say No....

    Thats lovely Kasie,mungu akujaalie mnyamwezi ww useme "yes"mambo yanoge
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2017 nilitembea na mke wa superstar mkubwa bongo bila kujua

    Chai za kifala
Back
Top Bottom