imewapasa kufanya hivyo maana wamepoteza imani na hivyo vyombo vya dola huku wakishindwa kuvumilia kuona ndugu na jamaa zao wakizidi kuathirika... so ni bora kuwaua hao wauzaji ili wapunguze kasi ya madhara ya dawa hizo kwa jamii.
hivi taarifa kama hizi wanazipataje hawa? maana ni tofauti kabisa na yaliyoandikwa na vyombo vyetu vya habari nchini. hawa wameenda mbali zaidi na kumfanya Sheikh Ponda kuwa mshukiwa namba moja wa tukio la tindikali znz.
usishangae Rais kupokea msaada kutoka kwa kahaba, kwani misaada mingi tunayoipata katika vyama vyetu vya siasa na hata katika huduma za jamii tunajua chanzo cha mapato yake au kwa kuwa kafanya Rais.
Naunga mkono maandamano ikiwa tu ni kwa lengo la kuishinikiza serikali ifanye marekebisho katika sera zake kuhusu Rasilimali za nchi na lengo la kwanza liwe kuwanafaisha moja kwa moja wananchi wa maeneo husika zinapopatikana rasilimali hizo. Ni jambo la ajabu sana kwa hapa Tanzania kuona maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.