Mkuu hizi zote ni theory tu zisizo na uthibitisho maalumu kila mtu anaongea lake,kuna zile makala mfano "Gold Mafia" huwa zinatoa ushahidi usio na shaka kuhusu tuhuma fulani kitu ambacho wewe hujakifanya humu bali umeandika tu kwa hisia tu za kuhisihisi bila kuweka ushahidi wa madai hayo makubwa...
Kwanza Cairo unaweza ukatembea mji mzima usikute mtu kavaa kanzu hata mmoja au wanawake kujifunika mahijabu makubwamakubwa yale.Nchi strictly sana ni Afghnistan ambayo ndio nadhani anaiongelea mleta mada,Saudi Arabia moderate strict na Iran
Yeah Mshana Jr kaka yangu umeona hii experience? ..Hapa bongo kuna Tajiri AKA yake ni maandishi matatu kumfikia pale juu kwenye ofisi yake unakutana kwanza na makomando wawili wenye gwanda kabisa ya jeshi letu wamesimama huku na huku na mitutu na hawacheki wala kuongea
Ndio maana nikakwambia huna unachojua bwana Alexido wewe endelea na kina Diamond na wengine tu wa Instagram..Unaposemea wewe ni Afghanistan ndio nchi yenye taleban na masharti magumu ya Uislamu na sio Pakistan
Wewe Endelea na habari za Instagram za kina Lokole tu,vitu vigumu kama hivi achana navyo mimi nimefika Lahore Pakistan nimekaa mwezi mzima nikishughulikia mwili wa marehemu mdogo wangu 2010 sihadithiwi,nimefika Misri,nimefika Saudi Arabia usidhani unaongea na mtu wa vijiwe vya kahawa...
Huijui Pakistan wewe,Pakistan ni moja ya nchi ambayo haina hata sheria kali za kidini ingawa kama zilivyo nchi nyingine za kiislamu kuwa na mfumo wa Sharia Pakistani pia ina Sharia law lkn si kali kama zile zilizopo Saudi Arabia,Afghanistan na Iran..Sheria zao ni zile kama zilizo katuka nchi...
Mshana Nimegundua kumbe pamoja na yote hujawahi kukutana na Madon wenye majina unaowajua wewe hapa Tz,Unajua kwamba Hwa top notch ya matajiri wa Tz wengi wanalindwa na usalama wa taifa na Makomando wa kijeshi kabisa?? Hii ipo nchi nyingi sana
Guinea Bissau walitufunga wakiwa na Diaspors kibao (wengi kuliko wachezaji wa ndani,tukadraw na Madagscar jana ambao nao wote walikuwa na wachezaji wa nje,miaka michach iliyopita Madagascar kabla ya sera zake za kuwatumia wachezaji wa nje wengi ilikuwa moja ya timu vibonde Africa
Timu ya taifa ya Eritrea jana imetoa Suluhu ya 1-1 na timu ya taifa ya Kenya,game ilikuwa tough na Eritrea ambao kimsingi kwa miaka mingi ni underdog wa Africa Mashariki walionyesha kiwango ambacho hakuna aliyetegemea ingekuwa hivyo!!
Siri ilikuwa ni moja Eritrea wametumia mfumo wa Morocco...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.