Recent content by Tabash yamashta

  1. Tabash yamashta

    Wanaume wengine mna laana nyie sio bure

    Mihela, tatizo ukitafuta pesa sana!! Ndo madhara yake' huyo kaenda kw waganga
  2. Tabash yamashta

    Navutiwa kimapenzi na wanaume wanaodaka mpira wa miguu

    Tatizo usifikiri na huko chini wataweza kupambana kama walivyo huko golini,, Hizo ni ngozi mbili tofauti dada
  3. Tabash yamashta

    Wanaume na tabia ya kututemea mate masikioni wakati wa maandalizi ya tendo la ndoa

    Pole sana, Umekutana na chatu mlawatu huyo,, Ha ha haaaa!!
  4. Tabash yamashta

    Kupenda tabu; nimemwambia nampenda ila kasema ananiheshimu kama kaka yake

    Jwani we Unata kumfanyaje mtoto wa watu, kwa nini umgande hivyo??
  5. Tabash yamashta

    Mke malaya, nimfanyaje?

    Nakupa ushauri huu ambao niliutumia mimi na nikasaidika sana" Kaza moyo wako, Usimsalimie wala usiitikie salam yake, Hata kusemezana nae usisubutu,, kuwa Bubu muda wote kw mkewo,, Usile chakula anacho andaa kw ajili yenu, Usioge maji alio kuandalia,, lala nae kitanda kimoja ila usichangie shuka...
  6. Tabash yamashta

    Wanawake wembamba na wanawake wanene yupi mtam zaidi??

    Kwa kweli wakuu mada hii haiwezekani ukapata majibu yanae fanana,, mi binafsi Nikimtizama mwanamke mwenye nyama za wastan ,nyuma awe kajaaliwa ,kiuno kidogo, maziwa yasiwe madogo wala yasiwe makubwa, Asiwe mweupe sana, nibora Awe mweusi kuliko mweupe,, HAPO UTANIUWA,,
  7. Tabash yamashta

    Wanawake wembamba na wanawake wanene yupi mtam zaidi??

    Kwa kweli wakuu mada hii haiwezekani ukapata majibu yanae fanana,, mi binafsi Nikimtizama mwanamke mwenye nyama za wastan ,nyuma awe kajaaliwa ,kiuno kidogo, maziwa yasiwe madogo wala yasiwe makubwa, Asiwe mweupe sana, nibora Awe mweusi kuliko mweupe,, HAPO UTANIUWA,,
  8. Tabash yamashta

    Wanawake tunakuwa na thamani pale tunakuwa tumevaa nguo

    NYIE VAENI NGUO HATA BEGI ZIMA, ILA TAMBUA WE NI MWANA MKE TU!, BILA MWANAUME WE UTAENDELEA KUBAKI NA MAVAZI YAKO HIVYO HIVYO, Ndoa nikitu kikubwa sana,, NYIE WANAWAKE HAMUWEZI MJUWA MWANAUME HATA UNGEKUWA MSOMI VIPI!!" NDIO MAANA MUNGU ALI WAKABIDHI KWETU MAANA NINYI NI DHAIFU SANA, HUWEZI NA...
  9. Tabash yamashta

    Amani imetoweka kwenye ndoa yangu kisa kukosa mtoto

    Dada,, pole sana naomba nikushauri kiufupi sana,, Fanyeni vpimo kwakina kwa ushirikiano wenu, kama vile ambavyo mnavyo shirikiana kutafuta pesa,, baada yamajibu yamwisho kw dactar ,, akitoa majibu kwmba nyie hamna matatizo!!" Basi cha kufanya Juweni kwamba mna maadui ktk maisha yenu, Nachanzo...
  10. Tabash yamashta

    Unajisikiaje?

    Mada yako ndo jibu lako,
  11. Tabash yamashta

    Kama unawaza kwenda Dubai, hivi ni vitu 11 ambavyo hutakiwi kuvifanya ukiwa Dubai

    Nyie ndo wale mkifika ugenini ktk nyumba ya mtu unataka Kueneza tabia za nyumbani kwako wabongo duh!!
  12. Tabash yamashta

    Wadada naomba mjue bao la kwanza tu ndo tamu mengine huwa tunajilazimisha kuwaridhisha nyie tu

    Me nisipo mliza mwanamke Aisee!! Bado sijashuka, tena huwa nasubiri alie kw kipigo kikali kitam baada ya yeye kukolea chunvi ndo aniombe nishuke maana kisha fiki ktk safari yake ,, Mkuu wewe ni Mbovu kama unakutana na hali ya namna hiyo, Unahitaji matibabu ,, Majirani watahamia kwako kutafuna...
  13. Tabash yamashta

    Upi ukweli kuhusu hizi fununu?

    Lakini pia nendeni mbali kidogo pale panapo kiwanda cha uzalishaji , kitaalam zaidi ktk maswala ya sayans Maana nikitizama naona kuna spam × na y, Kunakitu utagundua chanzo cha kuwepo kw idadi kubwa ya wanawake.
  14. Tabash yamashta

    Upi ukweli kuhusu hizi fununu?

    Kiufupi mkuu, Cc kwetu tumezaliwa wa3 wakike 2 wakiume ni 1, Ambae ni mimi, Na mimi nina watoto 4" wakike wa3' Wakiume ni1'' Swali je kwenu mmezaliwa wangapi wakike na wakiume???" Ndo majibu ya tasmin, Tuyapate kupitia uzi huu ,Haina maana kutafuta wataalam na cc tupo tunaweza Kama twaweza.
Back
Top Bottom