Recent content by Ta Castor

  1. Ta Castor

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kurudisha akaunti ya Facebook

    Nimedukuliwa facebook account yangu na kubadilishiwa email na password na mtu nisiyemjua, siwezi tena ku-login kwenye account yangu, kaondoa email yangu kaweka yake na kubadilisha password, MSAADA PLEASE mwenye kufahamu namna ya kurudisha.
  2. Ta Castor

    JamiiForums Tanzania 5G itaanza kupatikana kwa watumiaji wa iPhone nchini Tanzania 🇹🇿 katika iOS 16.4

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. Ta Castor

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    :rolleyes:
  4. Ta Castor

    JamiiForums Tanzania Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

    Super Amoled display & Mult tasking features,
  5. Ta Castor

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Honda XLR 250 inauzwa

    Bei?
  6. Ta Castor

    JamiiForums Tanzania Nauza iphone X

    Bei?
  7. Ta Castor

    JamiiForums Tanzania mwenye link ya whatsapp for pc

    Hiyo inapatikana store ya microsoft, sign up kwenye microsoft upate account kisha ingia store udownload
  8. Ta Castor

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy S21 Ultra ni habari nyingine

    Hizi mashine we acha tu, hakuna mpinzani
  9. Ta Castor

    JamiiForums Tanzania Uimara wa EPSON L382

    Tatizo lake huwa hazina nguvu za kuvuta karatasi ngumu mfano hizo za vyeti mithili ya manila na karatasi za picha double sided,mara moja moja unaweza kubahatisha ikavutwa ikaprint ila sio mfululizo lkn kwa karatasi za kawaida haina shida
  10. Ta Castor

    JamiiForums Tanzania Uimara wa EPSON L382

    Hapana kurefill ni kama kawaida zinavyojazwa kubwa zake kwenye mitungi. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ta Castor

    JamiiForums Tanzania Msaada HP laptop Elite book ipo very slow

    Install system optimizer software kisha i-run Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ta Castor

    JamiiForums Tanzania Uimara wa EPSON L382

    Wino unapatikana kila sehemu hauna tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ta Castor

    JamiiForums Tanzania Uimara wa EPSON L382

    Inafanya kazi vizuri tu ila speed ni slow ukilinganisha matoleo ya L800, 805 nakuendelea Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ta Castor

    JamiiForums Tanzania Wenye ujuzi waninasue na kudukuliwa email yangu

    Asante mkuu
  15. Ta Castor

    JamiiForums Tanzania Wenye ujuzi waninasue na kudukuliwa email yangu

    Kama kichwa knavyojieleza hapo juu, kuna device 2 mojawapo simu ya Lg Nexus G5 na Mac nathan hii ni pc zina access email yangu kwenye Gmail Kupitia progrm ya Chrome wakati mimi sikuwahi miliki hizo device wala ku login kupitia hizo device kwa mtu yeyote. Nimebadili password ya email yangu lkn...
Back
Top Bottom