Ta Castor
Member
- Jul 7, 2012
- 78
- 36
Kama kichwa knavyojieleza hapo juu, kuna device 2 mojawapo simu ya Lg Nexus G5 na Mac nathan hii ni pc zina access email yangu kwenye Gmail Kupitia progrm ya Chrome wakati mimi sikuwahi miliki hizo device wala ku login kupitia hizo device kwa mtu yeyote. Nimebadili password ya email yangu lkn bado zina access email yangu, naomba msaada wenu wadau wa kujinasua.