Recent content by T777

  1. T

    Kifo Cha CCM ni matarajio ya WaTanzania

    CCM bado Imara
  2. T

    Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Chadema chama cha mafisadi. Ccm wameamua kufukuza mafisadi wote. Chadema wapokeeni
  3. T

    Mjerumani amchambua Lowassa, awashangaa Watanzania

    I support mzungu 100% how can we forget so easily? Lazima mahakama au bunge au serikali imsafishe...sio yeye mwenyewe. Wasila kaongea vizuri zaidi ya lowassa.
  4. T

    Utafiti waonesha Lowassa awatimulia vumbi Membe na Pinda

    Mwigulu bado mdogo pia huzoefu utamtoa. Hila miaka hijayo hanaweza.
  5. T

    Mungai amlipua Lowassa kwa propaganda anazofanya

    MUNGAI KASEMA KWELI KABISA. LOWASSA HAJAJENGA SHULE ZA KATA WALA CHUO KIKUU DODOMA. MAMBO HAYA YAMEANZA KWA MKAPA. WAFUASI WA LOWASSA TUAMBIENI KITU GANI KAFANYIA NCHI YETU? Hili tumchague... Mimi sioni kabisa zaidi ya ufisadi komavu.... Mimi ccm hikimpitisha naondoka ccm na familia yangu yote...
  6. T

    Kinana: Mnaojipitisha urais kabla ya wakati tusilaumiane

    President Kenneddy said this...no one was born to be a good president but ONE BECOMES good president. Watanzania nashangaa kwanini tunaangaika kutafuta RAISI kwasababu DR KIKWETE kasema kwenye miaka 38 ya CCM kwamba; 1- Kama waliojitokeza hawafai washauriwe wengine ambao hawajitokeza. ( JK...
  7. T

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    KINANA NI MCHAFU. JK KASEMA KWENYE MIAKA 38 ya ccm kwamba RAISI Atakayekuja lazima hawe na SIFA hizi ( lazima tujifunze kusikiliza na kupambanua) 1- lazima hawe msafi 2-hana makundi 3-hanakijua chama vizuri, 4- hanakubalika Tanzania na nje ya Tanzania. Hanaweza kuwa balozi..... 5- mchapa kazi...
  8. T

    Balozi Jaka Mwambi ndio karata ya CCM 2015 kiti cha Urais

    SIFA anazo, uwezo anao, pia mshapakazi,na msafi kama seruji. Huyu ndio mwalobaini wa upinzani na kwa Maendeleo ya Taifa letu. Kweli Huyu mzee hanayo historia nzuri ya utendaji ndani ya Chama na Serikalini. Kama Kweli sitashangaa kabisa. Namueshimu sana kwa utendaji wake. Nakumbuka Utendaji wake...
  9. T

  10. T

  11. T

    Balozi Jaka Mwambi ndio karata ya CCM 2015 kiti cha Urais

    Jamani Acheni umbea......
Back
Top Bottom