Balozi Jaka Mwambi ndio karata ya CCM 2015 kiti cha Urais

pepekale

Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
60
Reaction score
50
Habari za chini ya uvungu ni kwamba aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Urusi Balozi Jaka Mwambi diomrithi wa Jakaya Mrisho Kikwete 2015
 
Jakaya na Jaka ni wale wale, tofauti ni ndogo sana 'ya' tu
 
Habari za chini ya uvungu ni kwamba aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Urusi Balozi Jaka Mwambi diomrithi wa Jakaya Mrisho Kikwete 2015

Kweli hili ni jamvi. Mwee!
 
Attachments

  • 1423606121582.jpg
    1423606121582.jpg
    9.6 KB · Views: 2,444
Duh...!
Jaka Mwambi?
R.I.P Sisiemuu.....
 
Habari za chini ya uvungu ni kwamba aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Urusi Balozi Jaka Mwambi diomrithi wa Jakaya Mrisho Kikwete 2015

Acha Wee! JAKA huyu huyu! DC Bagamoyo, RC Rukwa, Balozi Urusi, hadi Presidaa , mie Waziri wa njuruku kudadadeki! Mkombozi na Stanbic, Ruge na Singh cha mtoto!
 
Duh afadhali babamkwe ale shavu nipone mwe!

Kwa Happy,PROSCOVIA au yule mwenye tabu ya mguu??!!!

JAKA Mwambi ni mwivi mzuri tu kama majizi mingine ya CCM,hana uchapa kazi,ubunifu wala uthubutu na itakuwa ni sawa kumweka Kikwete for 3rd phase!!!!
 
Mh kaka upo kama mchalo?kati ya pross na mwenzie otea hapo japo kazalishwa sijali
 
Back
Top Bottom