Recent content by T308A

  1. T308A

    Kwa hili, Kigwangalla hufai kuwa hata mbunge

    Kuna wimbi kubwa la watu ni viongozi katika jamii zetu, kwa sababu tu, jamii hiyo imedumaa kifikra, haitambui inataka nini na haitako nini, haitambui haki zake wala wajibu wake, yaan ipo ipo tu, kwa vile hawajafa.
  2. T308A

    Vijana kumi bora wanaostahili kuingia IKULU/kuwa viongozi wa nchi

    Yani presidential materials, watu wanaoamini kuwa na vyerehani 2 ni kiwanda. Safari bado ni ndefu sana
  3. T308A

    CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Sasa, Mhe. Suleiman Jafo, anashangaa nini apo. Ni mwananchi gani anayenyimwa haki yake ya msingi baada ya CHADEMA kujitoa, ama ni nani katika ya watendaji na CHADEMA wanaowanyima wananchi haki yao ya msingi ya kuchagua viongozi wawatakao? Yani, kabisa Mhe anashangaa, kwamba haelewi bado uzito wa...
  4. T308A

    Suleiman Jafo vs Prof. Mussa Assad, Nani anafaa kwa urais 2025?

    Umetisha, sio kwa majibu hayo....ahhahahah
  5. T308A

    Vijana kujibizana bila staha na wazee wastaafu ni aibu kwa Taifa letu

    Kwa kweli wanatutia aibu kama vijana. Nilitazamia vijana wawe ndio dira ya ubunifu na maendeleo katika Taifa, leo wamekuwa ni kama fisi maji, hawajui wafanye nini, zaidi ya kujitafutia umaarufu kwa mambo ya kijinga katika media. Mbaya zaidi, mikoa yao ina matatizo kedekede. Ni miongoni mwa mikoa...
  6. T308A

    Kuna wanaopanga maandamano ya nchi nzima kushinikiza kusiwe na uchaguzi 2020 na Magufuli aendelee kuwa Rais

    Ahahaha,,mambo yanafurahisha sana. But, we are free to choose our actions, but we are not free to choose the consequences of our choices.
  7. T308A

    Fukuza Marekani nchini

    Nimejaribu kukuelewa ulichoandika, lakini naona bado kina ukakasi. Kwanza umetumia vibaya jina la Yesu, kiufupi umedhalilisha dini ya wengine (Ukristo). Pia, lazima uelewe, kila Taifa, lipo responsible kulinda usalama wa raia wake. Tahadhari zinazotolewa, za ugaidi au magonjwa ni muhimu kwao...
  8. T308A

    Tetesi za Ebola: Serikali ya Tanzania inafanya mzaha kwenye jambo la hatari

    Wizara ya afya iliijibu WHO kisiasa zaidi, kuliko kitaaluma zaidi. Kutoka vyanzo visivyo rasmi, WHO ilipata taarifa juu ya watu kadhaa, wenye historia za kusafiri katika mataifa yalioathirika na Ebola (Congo na Uganda), wakiumwa na kuonyesha dalili kama za Ebola (kutoka damu sehemu za uwazi...
  9. T308A

    Part 3: TISS bado safari ngumu

    Hakika, umenena.
  10. T308A

    Ni nini kipya tulichojifunza hadi sasa baada ya mikutano lukuki ya wawekezaji?

    Moja kati ya changamoto kubwa za sera za maendeleo, kwa nchi nyingi za Africa na jumuiya zake, ni kwamba, sio sera jumuishi, kwa mantiki ya kwamba, mlengwa mkuu wa maendeleo, ambaye ni mwananchi, hajui chochote na wala hajuzwi kuhusu sera hizo. Zinabaki kuwa sera za wizara na rais, mwisho wa...
  11. T308A

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Ebu iweni watu wenye utu kidogo. Izo propaganda, hazina maana, wala hazisaidii kitu katika kumfanya apone. Alishaumizwa, amekaa katika mateso kwa miaka almost 2. Hoja, ni kwamba, ameumizwa, sio upuuzi wa sijui risasi ziliingia, sijui kutoka, mara kulia mara kushoto. Lakini katika yote, tukumbuke...
  12. T308A

    Tufanye tathimini sasa juu ya ubora wa elimu ya msingi itolewayo bure

    Nafikiri, suala sio elimu bure, bali ni ubora wa elimu inayotolewa. Elimu ya Tanzania, imekuwa duni tangu enzi za kulipia hadi sasa enzi za elimu bure. Kwa kiufupi, THERE IS A MISMATCH, BETWEEN OUR EDUCATION QUALIFICATIONS AND LABOUR MARKET DEMAND. Ndio maana changamoto za ajira ni nyingi, uwezo...
  13. T308A

    Msemaji wa Serikali: Hakuna wa kumkwamisha Rais Magufuli

    Executive yenye kila aina ya resources, fedha, wataalamu, jeshi na mamlaka ya kutumia chochote katika ardhi ya Tanzania, ni mtazania gani mwenye nguvu ya kuifanya Serikali isiweze kutimiza wajibu wake? Hakuna, nasema tena hakuna mtu wa kushindana na Serikali. Tuache kutoa kauli za kitoto, za...
  14. T308A

    Faru akipotea, anatafutwa kama Malaika, ila wananchi wakifa katika mazingira tata, kudhulumiwa, tunasema wahusika hawajulikani, seriously

    Nilikua najaribu kutafakari, maana halisi ya neno maarufu sana hivi karibuni, la "VITA YA KIUCHUMI". Huu msemo umekuwa maarufu sana, na mara nyingi naona hutumika kama kinga kwa baadhi ya watu, dhidi ya uharamu wa mambo yao. Kwa uelewe wangu wa kawaida, vita ya kiuchumi, ni competition on...
  15. T308A

    Kusini mwa jangwa la Sahara ni Rais Kagame pekee kaalikwa mkutano wa G8, ana hekima nyingi ama?

    Mbali na madhaifu aliyonayo, Rais Paul Kagame, ni miongoni mwa viongozi wa Africa wenye weledi na uelewa mkubwa sana katika suala la uongozi. Anaijenga Rwanda, na jitihada zake zinaonekana. Kikubwa, alichonifurahisha, ana ile programme inaitwa "YOUNG PROFESSIONALS MEET THE PRESIDENT", anakutana...
Back
Top Bottom