Recent content by T2020CCM

  1. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apokea taarifa ya nyongeza ya mishahara, kuiwasilisha kwa Rais ambaye ataitangaza hivi karibuni

    Hapo kwenye kiasi wanapaficha ili tuendelee kufuatilia
  2. T

    JamiiForums Tanzania CCM imekosa vijana wenye sifa mpaka kumpa kazi Mzee Kinana mwenye miaka 71?

    CCM ina vijana wengi sana wenye uwezo wa akili, uongozi na maadili. Ila nafasi hiyo ya makamu mwenyekiti inahitaji vijana wajifunze kutoka kwa Wazee namna ya kuongoza Taifa ili waje waweze kufanya kwa busara hapo baadaye...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Tanzania mpya

    Habari za jioni wana jamvi. Ndugu zangu nianze kwa kusema kuwa, Tanzania imekuwa ikiongonzwa na Viongozi (Rais) kutoka Chama Cha Mapinduzi tangu tumekuwa Jamhuri. Kwa vipindi vyote hivyo tumekuwa na awamu tano za Marais waliowahi kupewa dhamana ya kuliongoza Taifa hili. Tulikuwa naye Hayati Baba...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi Mradi wa Umeme, mto Rufiji: Rais Magufuli aagiza sehemu ya Selous kuwa Hifadhi ya Taifa. Fedha zilizorudishwa kutoka Kenya kujenga barabara

    Mimi nitasimama na Rais Magufuli. Kule Rais Donald Trump hawapendi waafrika sio kwa sababu ya ubaguzi wa rangi ila coz anaona ni wavivu kuamua kuhusu hatma ya maisha yao. Sasa kuwa na mtu ambaye anamaamuzi yenye tija kwa Taifa, si dhambi kujivunia kuwa naye. Rais wetu Nchi yetu Tanzania yetu.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kupokea Ndege kufanywa ni tukio la kitaifa ni ushamba, tunachoreshana..

    Upo sahihi ila kwa mafanikio anayofikia mtu, watu au taasisi kila mmoja ana namna yake ya kufurahia. Kama mtu anajenga nyumba akimaliza anaita watu kuzindua haimaanishi hakuna mtu ambaye hana nyumba ila ameona kwa mafanikio hayo basi afurahie kwa namna hiyo. Ni aina tu ya namna ya kupokea jambo...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na karata ya machinga kuelekea 2020

    Unapokuwa unazungumza fanya uchunguzi kwanza. Kazigharamashidagharamazaidi
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na karata ya machinga kuelekea 2020

    Mmh
Back
Top Bottom