Recent content by T TRUTH

  1. T

    JamiiForums Tanzania Umoja wa vijana wazalendo wa vyuo vya elimu ya juu Dar walaani kauli za mwenyekiti CHADEMA

    . Siasa siyo chuki ndio maana viongozi wetu wakikutana wanacheka pamoja ila majukwaan wanapakana matope. Mbowe kwa cheo chake akustahili kutoa kauli kama ile tena anasisitiza hata bila kibali ataandamana inchi inayo ongozwa na katiba uwez ukaandamana bila kibali unavunja katiba ukishabikia...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akabidhiwa fomu za kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa

    siku hizi hakuna cha wazee nao ni sehemu ya maigizo na kukandamiza demokrasia .. maigizo yanaendelea.... bado kumchukulia fomu slaa
  3. T

    JamiiForums Tanzania POLEPOLE: Vijana jiandikisheni kupiga kura ya hapana katiba mpya

    Hayo maoni tu chanzo cha habar hakijasemwa ndio ujue ni habar ya uongo..... kaeni nje ya bunge msubiri katiba na.itapita kwa kishindo
  4. T

    JamiiForums Tanzania POLEPOLE: Vijana jiandikisheni kupiga kura ya hapana katiba mpya

    Hayo maoni tu chanzo cha habar hakijasema ndio ujue ni habar ya uongo..... kaeni nje ya bunge msubiri katiba na.itapita kwa kishindo
  5. T

    JamiiForums Tanzania CCM Imebaki Jina

    chadema watu ni walewale wezi wale wale wa bank kuu ndio wale wale wanao ongelea utetezi wa wanainch tuache kudanganyana ccm chama kubwa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

    habibi mchange kayasema niliyokuwa na yajua muda mrefu lele kampun la wajasiria mali wanao jiita wanasaisa na wakombozi chadema na bado
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Kigoma wafana

    picha za kimkakati watu wachacheeeeeee......
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nitawania Urais kupitia CHADEMA 2015

    Ndio maana alikuwa anampga vita zitto.. haha lissu awe raisi raisi au rahisi au? Maana lissu anafaa uraisi wa waendesha bajaji isiyo wa inchi ataharibu nchi ..
  9. T

    JamiiForums Tanzania Imedhihiri: Tundu Lissu ni Adui Mkubwa wa CHADEMA

    Tundu lissu alihama nccr kwenda chadema kwa ajili ya maslahi Tundu lissu alipigana kufanakupona kuwa ngoa wakina mkumbo kwa ajili ya maslahi Slaa kachoka mbowe uwezo wake mdogo wa kufikiri na kujenga hoja Lissu ndio amebaki akiwayumbisha..yumbisha ...sasa lazma chadema watambue lissu...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Umma unahitaji mabadiliko ya mfumo wa nchi na kuiondoa CCM

    umma unataka mabadilko..umma upi?? Mabadiliko ya chama wakati hakuna upinzani tz.. wote waliopo ni wapingaji tu..... Watanzania wanataka elimu, maji umme, miundombinu na kadhalika hawataki migomo, maandamano wala kuvunja muungano... CCM bado inatosha ..kwa kuwa hakuna mbadala ..huwez kujita...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere: Tanganyika sio sera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    tatizo ulie tuma post ujui ulicho tuma.. cha kukusaidia maana unalazimisha kumchambua mwalimu huku umjui serekali 3 ni sera ya chadema..kwa manufaa ya kuigawa inchi ili wapate upenyo wa kutawala serekali ya mkataba nisera ya cuf ili wapate upenyo wa kuendesha dola .. serekali upepo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Vijana 7 Wachadema wanaofanya vizuri nje ya Bunge.... hawa hapa

    Watu wanatangazwa hapo...siasa hizi za njaa ni shida sana
  13. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kiwira yafanya kufuru tena

    Mmmh..mikutano watu wengi kwenye sanduku lla kura watu zero....chadema ....
  14. T

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee amlipua Mbunge Leticia Nyerere wa CHADEMA

    Halima mdee akuna anachofanya huku kawe..na yeye aache kutusaliti wanainch wa kawa
Back
Top Bottom