Hii ni habari nzuri kwa mustakabali wa siasa yetu. Hapa kuna watu watapata tumbo la kuhara kwa ajili ya kushindwa kuididimiza chadema Kigoma. Kitengo cha propaganda mitandaoni Lumumba, baadhi watapigwa chini au posho zitunguzwa,hasa waliotoka chadema baadaye wakapewa kazi ya kutukana viongozi wa CDM. Hakuna uwiano wa thamani ya pesa waliyolipwa na matokeo yaliyotarajiwa.
cc: @Juliana Shonza na wenzake.
cc: @Juliana Shonza na wenzake.