Recent content by T Batenga

  1. T

    JamiiForums Tanzania Waarabu wanaendelea kumininika Tanzania na Miradi ya maendeleo. Sasa Saudi Arabia

    Acha waarabu waje kwa wingi kuwekeza ndio wenye fedha, na wanamuogopa mwenyezi mungu,tuache ujinga na wivu sisi bado ni maskini sana tuache jeuri
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kama hii ndio Bukoba International Bus Terminal, basi Kagera kuongoza kwa umasikini ni ukweli

    Niliyaona mwenyewe Bk umaskini na ujinga ni mwingi katika mji lakini vijijini kama kiziba,maruku ni bye-bye.Umaskini utaendelea kwa sababu hata wasomi pale mjini hawapo wakifika tu kutoka nje ya mkoa wanakwenda kwao.kijijini Tufanye nini? Uchaguzi uangalie elimu kwa maana uwe na sifa ya chuo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Shirika la posta, Misitu yote, Loliondo Uwanja wa ndege wa KIA na Sasa bandari vyote wanapewa Waarabu

    Uchochèzi sio mzuri.Mwarabu ni binadamu pia
  4. T

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yamwaga Bilioni 800 za DMDP2 kujenga Barabara Dar es Salaam

    Barabara za jiji la Dar.Ilala ikon jiji lipi?mbunge Zungu.Slaa,wa SEGEREA mko wapi jamani?fedha zote zinapelekwa ubungo na kinondoni WHY
  5. T

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha ujenzi wa daraja litakalounganisha Zanzibar na Tanzania Bara

    Hakuna kitu kama hicho mbona kisiwa cha Anjuani na mayote mpaka hii leo hakuna daraja?Boti zinatosha badala yake jengeni hospitali za kimataifa na viwanda vidogo vidogo
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA watoto wao ni raia wa nchi zingine

    Uhuru wa kuamua ni wa kila mtu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Waziri Mwigulu Nchemba anahusika na ufisadi wa trilioni 1.7 mradi wa SGR

    Kwani CAG amesema hivyo?Mpina aache kinyongo,asisahau enzi za Operasheni Zagamba watu walivyopata shida.Kama anaona ubunge uko shida si aache siasa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabunge ambao hawatarudi tena 2025, Waanze kubeba virago

    Ukonga Jimbo hili ni.kama ilivyokuwa Temeke enzi za Lyatonga Mrema.hali ni mbaya sana kwenye miundo mbinu hasa barabara zote za kichangani,stakishari,ukonga kitunda,nyantira,mwanagati kibeberu,magore,kivule ni kubaya sana,sana.hakuna mipangilo ya miji nk.Mh Slaa ajaribu kutuonyesha nia ya...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa hauwezi kurudi bungeni. Asia Msangi popote ulipo jiandae kwenda Bungeni 2025

    Stakishari yote zaidi ya miaka 30 hakuna repair jiji la Dar? Lakini nasikia kuna mradi wa DMDP Ngoja tusubiri tuone. Mh Slaa una kazi kubwa mbele yako
  10. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda, kiokoe Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kusimamia kauli yako

    Wanasahau tuliweza kuingia chuoni hapo na principle pass E kwa masomo mawili leo ni majaji wakubwa na wenye akili sana Kuna wakati unaingia chuoni na principal moja tu Ukiritimba huu utakiangusha chuo. Vyuo ni vingi vizuri kama UDSM,mfano Kairuki is among the best in Tz,Mzumbe nk nk
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwalimu anamiliki Harrier new model kweli?

    Hizo gari waalimu wanaweza kununua ni kukopa kama wenzao bank kupitia utaratibu wao We
  12. T

    JamiiForums Tanzania Bado Makamu wa Rais Philip Mpango yuko ofisini?

    Mbona maoni yangu jamii forum unayatupa kapuni.au mnataka criticism tu
  13. T

    JamiiForums Tanzania Bado Makamu wa Rais Philip Mpango yuko ofisini?

    No no no Philip Mpango hausiki kamwe,hicho ni kichwa kizuri.mno .msitoke nje ya reli, wezi wapo shughulikeni nao.huko nyuma enzi za Nyerere na Mwinyi kidogo na Mkapa, katibu wakuu principle Secretary walikuwa waadilifu sana wakifuata taratibu zote za matumizi ya fedha. Sasa baada ya kuwa...
Back
Top Bottom