Recent content by syoni

  1. S

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Shirika la Umeme Tanzania - TANESCO

    Samahani mkurugenzi nisaidie swali languhuwa sijibiwi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi nauliza kwa Nini Tukuyu umeme mnakata Mara kwa Mara na no muda mrefu kurudisha????? Hili swali langu mbona hamnijibu siku zoteee Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Jamani Tanesco umeme shida huwezi ukafanya ujasiriamali kwa kutumia umeme kwa maeneo ya Tukuyu,unakatika mara kwa Mara kwa imekuwaje?mkurugenzi Tanesco hebu tuonee huruma,Kama Kodi zinatolewa shida Nini???? Ukiweka mayai kwenye mashine lazima uwe na generator. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hamuitaki hii gari au ni bei?

    Uko wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

    Na iwapo kadi ya gari ilipotea anapashwa afanyeje kabla sijanunua? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

    Samahani ukinunua gari kwa mtu anapashwa akukabichi nyaraka zote alizo nunulia? J Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

    Samahani nauliza taratibu za kuuziana gari zikoje Kama umenunua kwa mtu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania Masters ya public health MUHAS na UDSM

    Asante kufahamu hivyo mkuu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Fighting truancy with BEDECCA

    So Redecca kuna nafasiza kazi? Au unatujulisha tu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Masters ya public health MUHAS na UDSM

    Hivi hakuna degree ya Public health
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa anayefahamu ni lini fourth round a selection ya NACTE itatoka anifahamishe tafadhali

    Tuko wengi mkuu hata akitaja chuo basi tutataja wote vyuo vyetu labda cha msingi tusaidie km unajua chochote
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliochaguliwa kuingia Chuo kikuu(diploma)

    Asante naona majina bado tusubiri kidogo labda
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliochaguliwa kuingia Chuo kikuu(diploma)

    Mbona huwa wanaweka orodha ya provisional results chini ya eneo la kuingiza namba ya index lakini hawajaweka? Hawamu zote huwa wanaweka!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliochaguliwa kuingia Chuo kikuu(diploma)

    Naomba link mahali ambapo naweza soma majina
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliochaguliwa kuingia Chuo kikuu(diploma)

    Computer science
Back
Top Bottom