Recent content by Synthesizer

 1. Synthesizer

  Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

  Kwa nini Mkuu, ikiwa ncho zote zimeweza kuzuia mikusanyiko?
 2. Synthesizer

  Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

  Na una uhakika kila Mtanzania, vijijini na mijini, watoto kwa watu wazima, wazee kwa vijana, wanazifahamu? Acha kuwa self-centred kiasi hicho.
 3. Synthesizer

  Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

  Mie ni msomi na mwenye uelewevu wa mambo, lakini bado ninaweza kuathiriwa na kutokuwapo kwa mkakati wa serikali. Lakini pia najua kuna Watanzania wengi tu ambao wanakufa kwa kukosa maarifa katika kupewa uongozi na kutokuwapo mkakati wa serikali katika upambana na Covid-19. Kwa hiyo ni shauri yao?
 4. Synthesizer

  Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

  Nadhani kuna haja ya kuwaambia Magufuli, Majaliwa, Gwajima na Ndugai kwamba tutawashitaki ICC kwa kusababisha kimakusudi vifo vya Watanzania wakati wakiwa na uwezo wa kuvizuia. Wanachofanya viongozi wetu ni kuwanyima wananchi haki ya kuendelea kuishi huku wakiwa na uwezo wa kuzuia vifo vyao...
 5. Synthesizer

  Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

  Tatizo wewe ni lofa tu loko wa Tanzania. UNgejua Denmark kiliwatokea nini walipochukua msimamo kama wa Tanzania usingeongea hapa.
 6. Synthesizer

  Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

  Tunajua lakini tunahitaji coordinated effort ya serikali, ikibidi kuzuia mikusanyiko, nk
 7. Synthesizer

  Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

  Hivi kwa nini hadi sasa serikali bado inafumbia macho ukweli kwamba Tanzania imefikia hali mbaya sana ya maambukizi, kuugua na vifo vinavyotokana na Covid-19? Ni kwa kuwa raisi na voingozi wengine wanaona aibu kukubali ukweli kwa kuwa huko nyuma walitoa kauli zilizoonyesha kwamba Tanzania hatuna...
 8. Synthesizer

  HOJA: Je, umahiri wa lugha ya kigeni ni kipimo cha akili?

  Kama sio akili kwa nini vipanga wa darasani ndio waliokuwa wanakuwa mahiri pia kwenye somo la Kiingererza? Sijaona mtu anapata 15% somo la Biology, History au Geograpghy, halafu 95% kwenye English.
 9. Synthesizer

  Namshauri daktari aliyesimamishwa kazi na Waziri wa Afya huko Chunya, Mbeya, aingie sekta binafsi

  Gwajima. IN fact hakupaswa hata kusimamishwa, tatizo kuna watu humu nchini wanatumia makalio kufikiria halafu wana makalio viduchu!
 10. Synthesizer

  Corona: Wizara ya Elimu yaukana waraka wa Prof. Elifas Tozo Bisanda Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT)

  Sasa nyie wanafunzi nendeni chuoni mfe. Sikilizeni wanasiasa badala ya maprofessor.
 11. Synthesizer

  Madhara ya "paranoia" kwenye uongozi au siasa ni makubwa sana hivyo ni vema tuelewe nini maana ya paranoia na dalili zake ni nini

  Enyi masikini wa akili, ni lini mtaelewa maana ya chama cha upinzani? Kwamba kazi yao ni kukubaliana na chama tawala? Kwa kila kitu kinachotolewa na chama tawala, chama cha upinzani kinatakiwa kionyeshe wao wangefanya kitu hicho kwa namna iliyobora zaidi. Huko sio kupinga. Ndio siasa zilivyo.
 12. Synthesizer

  Madhara ya "paranoia" kwenye uongozi au siasa ni makubwa sana hivyo ni vema tuelewe nini maana ya paranoia na dalili zake ni nini

  Hiyo ngumu sana, na kila chama kitapinga. Nadhani paranoia ni ugonjwa unaowashika wanasiasa wte, suala ni kwamba wanazidiana tu. Ndio maana kunakuwa na misururu sana ya wanasiasa kwenda Mlingotini, Bagamoyo
 13. Synthesizer

  Hivi Harmonize ni mwanajeshi wa kikosi gani hadi avae nguo za jeshi, anaogopwa?

  Ukiunga mkono juhudi cha chama kilichishika hatamu na Jiwe hata wanajeshi wataogopa kukusumbua, huo ndio ukweli
 14. Synthesizer

  Madhara ya "paranoia" kwenye uongozi au siasa ni makubwa sana hivyo ni vema tuelewe nini maana ya paranoia na dalili zake ni nini

  Sio rahisi kuwafanyia hawa watu vetting ya mental state Mkuu, na sio hapa kwetu tu. Hata Marekani wana hilo tatizo.
Top Bottom