Recent content by sylivesteralmas

  1. sylivesteralmas

    Ukifanya hivi, hakika utafanikiwa

    Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kunijalia uzima ambayo ni zawadi kubwa huku nikitumai kuwa hata wewe u mzima wa afya, pia nikushukuru wewe kwa kufanya kosa hili la kusoma thread hii kwani ukizingatia nakufanya, mafanikio ni yako. Leo ningependa nikufundishe njia rahisi kabisa ya kufanikiwa...
  2. sylivesteralmas

    Mtaji wa kwanza ili uweze kufanikiwa ni kuwa na Shahuku ya kufanikiwa

    Habari ndugu. Natumai u mzima wa afya kabsa, Leo Ni siku njema kabisa ambayo ningependa kukushirikisha kitu kimoja ambacho vijana wengi wa kitanzania na Afrika kwa ujumla tumekikosa katika ulimwengu wa kutafuta mafanikio. Hicho kitu si kigeni Sana, nacho ni Shahuku ya kufanikiwa. Shahuku ya...
  3. sylivesteralmas

    Mshahara unaotosheleza ni upi?

    Ok. Sio kwamba mishahara haitoshi, ila tu, watanzania wengi hasa tukiongelea wafanyakazi hatuna elimu ya Mambo ya fedha ( financial education),:hivyo kushinda kutumia ipaswavyo mishahara yetu. Mfano kwenye upande wa bajeti ya pesa tunazopata watu wengi tunashindwa hapa na matokeo yake tunabaki...
Back
Top Bottom