Recent content by swiswi

  1. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yasambaratika mkoani Kigoma

    :A S 2152: :A S 2152:Tehe tehe tehe....! wakati chadema wanatumia nguvu nyingi kuitafuta nafasi ya kuingia Ikulu basi CCM wanacheza na Pychology na kutumia akili kuwa maliza
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kupata ajira unatokana na chuo ulicho soma au?

    nitawatumia na maswali pia ambayo mara nyingi yanaulizwa na panel za interview mbalimbali ambayo mm ndo yamenitoa na sikuwa na mtu yeyote wa kunishika mkono
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kupata ajira unatokana na chuo ulicho soma au?

    :help:Nitaweka ngoja nikirudi kutoka job niziweke poa coz ziko kwenye Pc yangu na hii ninayotumia kwa ss ni ya kazini by kesho nitawatumia
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kupata ajira unatokana na chuo ulicho soma au?

    :help: :help:Siyo kweli Watu wengi wa Vyuo hivyo wanafanya kazi tayari nikiwepo mm, cha msingi muombe mungu atafanya tu na usikate tama endelea kusambaza Cv yako ila jaribu kuwashirikisha watu hasa hasa waonahusika na Recruitment watakuambia Cv yenye mvuto inakuwaje, pia ujue km unatuma...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Acheni malumbano ya vyuo nyie,mbona hamjielewi kabisa chuo hakimbebi mtu hata siku moja mm nimesoma mzumbe secondary ambayo wengine wasio na uelewa walikuwa wanasherekea kuchaguliwa shule yenye jina kubwa wakasahau kujibidisha ktk masoma leo hii hata ualimu wa shule ya msingi hawana,nimesoma...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa udom (wahitimu) wakosa ajira

    Labda angefafanua zaidi kwani mimi ni miongoni mwa wanafunzi wa Udom niliye hitimu mwaka jana mwezi wa sita Project planning & Management nimemaliza tu nikafanya application na kupata kazi haraka na mpaka nikawa nachagua kampuni la kufanya nao kazi mpaka sasa nina mwaka kazini nakula matunda ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tangazo kutoka sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma

    :kev:Tufike mahari tubadilike mambo ya kusema baadhi ya kada watu wanapangiwa kazi moja kwa moja yanatakiwa kuisha ili tuwe na watu ambao kweli wameiva ktk sector mbalimbali lazima wafanyiwe usaili kwani mkumbuke kwamba sio wote wanao maliza masomo ktk kada husika wanakuwa wamekamilika wengine...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Napenda kukitetea Chuo changu cha Mlimani (UDSM)

    Hamna kitu kama hicho,bado mnazidi kuonyesha ubovu wenu kinacho angaliwa sio GPA bali ni uwezo wa mtu husika na mahali husika
  9. S

    JamiiForums Tanzania Udsm ajira nje nje

    :kev:Jamani mimi nina ka GPA ka 3.9 vp naweza kupata kweli au ndo mambo ya upendeleo?
  10. S

    JamiiForums Tanzania NADIA inauzwa

    nina 6.8m if possible tell me
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa anayeijua/kusomea MOSHI HIGH SCHOOL aka OLD MOSHI!

    Mkuu mdogo wangu amechaguliwa hapo PCM na yuko Mbeya,vp iko poa?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa UDSM

    :kev:Km ni hivyo Basi Taasisi zote wangekuwa wanafanya kazi hao waliosoma hapo lakini cha Ajabu wanauza sura tu mtaani lakini sisi tuliosoma hivyo vyuo ambazo tulikuwa tunapoteza muda tayari tunafanya kazi tena TCU na km issue ni chuo njooni nanyi mfanyekazi
  13. S

    JamiiForums Tanzania KENYA: Valueless degrees leave graduates exposed to rejection!

    Huu ni ukweli uliotukuka,kwa mfano hata hapa tz mtu anasoma international relation alafu ktk soko la ajira inakuwa issue yaani hata pa kufanyia field tu ni full utata!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Assistant Lecturer in Accounting and finance anatafutwa kwa haraka

    Lakini mkuu huo mshahara sio mdogo isitoshe haohao unaosema wa BAF wapo mtaani hata laki hawaioni kwahiyo mwenye vigezo aende tu,ingekuwa wanatafuta mtu wa Planning mimi ningeapplay haraka sana ingawa nipo kazini tayari!
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya benki

    Mkuu hawa Barlclays wamechoka kinoma ata hawajielewi na huduma zao ndio maana mwaka jana walifunga matawi zaidi ya kumi,na hii inasababishwa na kuwa na Mkurugenzi mbovu!
Back
Top Bottom