Kizazi hiki wacheza mpira wapo,ila mafundi wa mpira hawapo,ukitaka kuliamini hilo angalia huu ni mwaka wa 10 wachezaji bora wa dunia ni wawili tu,nenda kwenye kizazi cha akina Ronaldo delima,zidane,figo,nedved,Rivaldo,canavalo,kaka, george weah,Ronaldinho fundi na wengine wengi.kizazi hiki...