zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,039
- 28,689
Yeah maana timu ya taifa hainaga usajili hivyo uwezo binafsi wa mchezaji ndio unaonekana mfano kwa bale akiwa wales ndio unamuona kwa uhalisia kuliko akiwa na stae studded real madrid team au kma messi akiwa argentina unamuona kwa uhalisia kuliko barca kulikoja masuperstarBila ubishi wote tunajua kuwa Leonel Messi ndiyo mchezaji bora kutokea tokea dunia iumbwe. Ila kumekuwa na haters wachache wakisema hawezi kuwa bora mpaka abebe kombe la dunia, kweli? Kombe la dunia linachezwa kwa muda wa mwezi mmoja kila baada ya miaka minne. Timu hadi kuchukua kombe inakuwa imecheza mechi saba. Je mashindano mafupi hivyo yanatosha kupima ubora wa mchezaji au ni uhater tu?
Kipimo cha juu cha uwezo wa mchezaji ni timu ya taifa maana kma hauna masuperstar huwezi sajili hivyo tunaona uhalisia wa wachezaji kwahyo nakubaliana na hoja kuwa kombe la dunia ndio kipimo cha uwezo wa mchezaji