Sauli ana bus 3,2 ni scania gemilang DRH na DPN
moja ni mercedez benz DPC
Bus zote hizo ni masaa yakuotea mbali[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1487]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwaka 2016 nikiwa nasoma chuo flan jijini Dar
Mazoea ya hapa na pale na demu wa rafiki yangu,si nikamtania shem unaonekana unajua sana kupika,shem akafrahi mwenyewe na kuitikia nitakuja siku moja kukupikia uonje kazi ya mikono yangu,kwani unakaa na nani?nikaitikia naishi mwenyewe
kipindi hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.