Recent content by Swigho

  1. Swigho

    Dar: Rais Magufuli azindua jengo la abiria Terminal III Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

    Pongezi za Dhati ziende kwa Raisi Wetu Mpendwa Mh. John Joseph Magufuli kwa Kazi Kubwa anayoifanya. Tumuombee Afya njema na Moyo wa Uzalendo kwa Watanzania wote ili aendelee Kuijenga Tanzania Mpya Kazi amabayo Viongozi waliopita ilikuwa ni Ngumu Kwao kufanya Ivyo. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu...
  2. Swigho

  3. Swigho

    Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    Daah hapo n ktengo Muhimu Kaka na me pia napenda kupata Ufaham kuhusu hilo
  4. Swigho

    Akiitwa mshamba, mnachekelea. Wao wakiitwa wapumbavu, mnanuna

    Duuu Kweli Ndio. Hi ndio TZ . Yani vitu vinajieleza Kabisa et ad wafanye uchunguzi.[emoji28][emoji28]
  5. Swigho

    Ripoti ya Utetezi wa Bwawa la Stiegler - Ndiyo Hii? Nimeshindwa Kuisoma...

    Kwel Kabisa inafika stage hata vtu ambavyo haviitaji Siasa vinaingiziwa Siasa at the end of the day yanafanyika mambo ya Ajabu kabisa
  6. Swigho

    Bora kuishi mwenyewe kuliko kuishi na mwanamke...

    Kabisa Yani Lazima ufanye Maamuzi sahihi wakati wa Kutafuta Mke wa Maisha Yako Maana Atakuwa msiri Wako wa Madhaifu yako yote na Mfariji wa Magumu unayopitia
  7. Swigho

    Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Sikuiz Wanaume tunayumbishwa na Vitu vingi Kuanzia Vyakula Tunavyokula Lakini Pia Hata Maisha yetu ya Kila Siku Watu wapo bze, Full mastress hata Ham ya Shoo inapungua Yan.
Back
Top Bottom