Dada usione mwanaume kavaa suruali mkanda kachomekea nadhifu ana vichenji vikakuzuzua mchunguze kiundani kabla ya kuolewa nae .
Zijue Tabia zao zisizopendeza na kama zipo unazozijua ongezea hapa.
*wabahili hawa akishakuoa anachojua kukuhudumia chakula tu wengine wanafika mbali wanakuweka kama...
Hivi ndio tuseme kukaza kwa vyuma au kumpenda dezo katika mizunguko yangu some where nikakutana na X boyfriend wangu nimeachana miaka sita iliyopita tena niliachana nae kwa kisanga kizito matusi na kejeli zote alizifanya huyu mwanaume na enzi hizo kwako alikuwa wa kishua balaa.
Sasa majuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.