Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,611
Alikuwaga anakufikisha kileleni kweli?
Haya yalipaswa kuwa mazungumzo kichwani mwako tu halafu ufanye maamuzi
kwani alivyonichangamkia kama tuliachana kwa wema kumbe alikuwa unatafuta grissKweli kabisa sasa hivi wanarejea kwa kasi ya ajabu...! Jamani wakaka pambaneni na hali zenu kama sisi tunavyopambana na hali zetu.
Mpotezee huyo hana lolote anatafuta unafuu wa maishakwani alivyonichangamkia kama tuliachana kwa wema kumbe alikuwa unatafuta griss
Hapa keshakula block tayari.Mpotezee huyo hana lolote anatafuta unafuu wa maisha
Ningekuwa wewe wala nisingem-block ningeendelea kum- enjoy tu!Hapa keshakula block tayari.
Ha ha ha naona tabia inazidi kushika kasi hii, huyo shemela sio was jf kweli 😀
duuuu JF raha sana aise.Hapa keshakula block tayari.