Recent content by sweetness A

  1. sweetness A

    Kaniomba nimsindikize kwake alichonifanyia sitasahau

    Wewe haujabakwa ila nyege zako ndio zimekubaka
  2. sweetness A

    Imenikera. Hivi inawezekana ikawa ni kweli anachosema!?

    Itakuwa hutafuti pesa,uko unamtegemea kila kitu hapo.hakuta kuwa na heshima inayostahili kama mume anakuchukulia kama mwanae wa kiume
  3. sweetness A

    Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

    Pozi kwa pozi anapenda kukaa nyuma kama ta.ko hawezi kujitegemea kabisa
  4. sweetness A

    Mambo 4 ya kufanya mwanamke akupende

    Umenena vyema......Mapenzi ni kama tango unatia tu chumvi
  5. sweetness A

    Mapenzi ni nini jamani?

    Mapenzi ni kama moto ukikosa vitu vya kuchochea tu lazima upunguze makali
  6. sweetness A

    Mapenzi ni nini jamani?

    Kuna ukweli hapa hasa kwa wanaume kama huna pesa subiri malaika.ova
  7. sweetness A

    Baada ya kugundua ana mwanaume mwingine, nimemny'ang'anya vitu vyote nilivyomnunulia

    Shukuru umeepuka kushambuliwa na wananchi kama mwizi,hasira hasara Siku nyingine usihonge--kunyang'anya kishamba namna hiyo
  8. sweetness A

    Mahari zingine bhana

    Hii ni dalili mbaya kwa wanaume wasio na uwezo
  9. sweetness A

    Tabia hii sio nzuri kabisaa hasa kwa wanaume

    Asilimia kubwa ya wanawake watafutaji huangukia kwenye mahusiano na wanaume wa dizaini hiyo
  10. sweetness A

    Aisee hivi huyu mke ni mzuri?

    Odo[emoji1][emoji1][emoji1]
  11. sweetness A

    Aisee hivi huyu mke ni mzuri?

    Nahisi huyo jamaa aliegombana na odo wake ni wewe mwenyewe maana si kwa uandishi mbovu namna hii
Back
Top Bottom