Recent content by sweetlady

  1. sweetlady

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangala aanza kusaka ajira mbadala ya Ubunge

    Inashangaza sana 😂😂😂
  2. sweetlady

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangala aanza kusaka ajira mbadala ya Ubunge

    Wanasiasa ni waogo sana...
  3. sweetlady

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangala aanza kusaka ajira mbadala ya Ubunge

    Kwani si huwa ana mifugo huyu? Hawezi kujiajiri mwenyewe mpk aajiriwe? Akamue maziwa auze aache kutegemea ajira
  4. sweetlady

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kamwaga hakwenda Ubalozi wa Marekani kujiridhisha kama kweli Tanzania ina uchumi mkubwa kuliko USA?

    Ukute wewe ndie Kamwaga mwenyewe🤣🤣🤣
  5. sweetlady

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wanamtandao Rostam Azizi aweka mpira kwapani, Hajaonekana Azam TV kama ilivyotangazwa, kaogopa nini?

    Sio media tu, tungehamasishana watanzania tususue bidhaa zao zote wajinga hawa... hawawezi kutuletea kipindi maalumu cha fisadi papa aje ambagaze Polepole afu tuwakalie kimya... kwanza hao Azam wapuuzi tu, walitaka kumuhoji Rostam kama nani? Ni mgombea? Shobo tu zilikuwa zinawasumbua ila raia wa...
  6. sweetlady

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wanamtandao Rostam Azizi aweka mpira kwapani, Hajaonekana Azam TV kama ilivyotangazwa, kaogopa nini?

    Tena tunatupa na mitungi yake kabisa... tumechoka kunufaisha mafisadi
  7. sweetlady

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wanamtandao Rostam Azizi aweka mpira kwapani, Hajaonekana Azam TV kama ilivyotangazwa, kaogopa nini?

    Ni vigezo gani vimetumika yeye kuwa huko? Yupo kama mkimbizi wa kisiasa au ? Ufafanuzi kidogo
  8. sweetlady

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011

    Thank you sana... I'm happy kurejea tena pia 💃💃💃
  9. sweetlady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I Miss you Husninyo

    Madame you are missed jamn
  10. sweetlady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I Miss you Husninyo

    Hahahahah... sasa nimerejea rasmi nyumbani baba kipenzi... natamani utukusanye mabinti zako wote kama zamani
  11. sweetlady

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011

    Umemisika more dear... ila mtoto wa kirombo umenisingizia ... 🙄
  12. sweetlady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I Miss you Husninyo

    🤣🤣🤣🤣
  13. sweetlady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I Miss you Husninyo

    Ukistuliwa unistue na mimi pia... Popo mwenzetu those days 🤣🤣🤣
  14. sweetlady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I Miss you Husninyo

    Lovely dad... kwanza nimekununia ... hivi ndio mabinti zako wote ulitususa namna hii au ni mimi peke yangu?😒😒😒.... Hii kesi ni kubwa sana , labda uje na mashahidi wa siri ndio tutaimaliza... CC: Husninyo aione kwenye file
  15. sweetlady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I Miss you Husninyo

    Hahahaha, swahiba mwenyewe nilijua file lipo mezani kwako jioni tulipitie
Back
Top Bottom