Mpenzi wangu may his soul rest in peace, alikuwa what i can call superbusy! Alikuwa ni Lawyer dealing with those capitol cases huge ones za hawa magaidi huko U.S.A, so he was always on a run, doing this doing that...yani busy hadi nikawa naogopa but cha kushangaza ingawa alikuwa busy mnoo kila...
No way! No matter how busy you are, you will always have time for your lady, even 1 hour, kama anapenda mchat kila wakati that is another issue... but angalau hata kuongea kwa simu for 10 minutes it's worth it for someone you love, don't you think?
Sent from my SM-S9 using JamiiForums mobile app
Unampenda sawa, swali ni je Yeye anakupenda????????
I always believe hata iweje na hata mtu awe busy namna gani he will always priotize you and always have time for you, kama hafanyi hivyo ujue kuna ambae anawasiliana nae 24/7 and you my dear, you are his 2nd or 3rd choice to him, think big...
Mkuu, hapo umemaliza nadhani mtoa mada atakuwa ameshaelewa vizuri why ni ngumu hawa watu kutiwa hatiani.
Sent from my SM-S9 using JamiiForums mobile app
Nisikize kwa umakini sana
1. Either huyu dada ana gonjwa moja sugu sana ana crush na wewe ila sasa pengine anahofia atakuambukiza kitu ambacho anagopa baadae atafeel guilty.
2. She is playing hard to get, we women are like that sometimes....we just like those games it's kinda fun. So whatever...
Afu kati ya wanaopinga hiyo issue ya kupiga goti unakuta wengine humu mlipiga pia sema mnaongea tu kuchangamsha genge[emoji23][emoji848]
Sent from my SM-S9 using JamiiForums mobile app
Wewe usipokuwa makini utatamani hata kaka yako afe mapema ummiliki Shem wako, una roho chafu ikemee ikutoke.
Sent from my SM-S9 using JamiiForums mobile app
Mtoa mada ukilipa zile kodi zetu za miezi 6 sita sio chini ya 600k si ndio utapata wehu kabisa?? Hapo wewe ndio umeathirika kisaikolojia sio yeye...mwenzio yeye atasema tu OK NEXT...[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-S9 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.