Recent content by Sweetiecay

  1. Sweetiecay

    Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke (PID)

    TIBA kupata dawa yenye kutibu na kurudisha virutubisho vyote vilivyopotea na kisha kukinga mwili wako kutopata maambukizi hayo tena, dawa za kampuni ya neolife ni suluhisho, kwa maswali au kupata tiba wasiliana kwa namba 0759137319 au 0692408039 au nifate pm
  2. Sweetiecay

    Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke (PID)

    PID maambukizo kwenye via vya uzazi, maambukizi haya yanasababishwa na vimelea aina ya NEISSERIA, GONORHOEA, CHLAMYDIA, TRACHOMATIS ndivyo vinavyoongoza kusababisha PID kwa wanawake. NJIA ZINAZOSABABISHA PID; 1.kutoa mimba(abortion) 2.matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama vidonge, kondom...
  3. Sweetiecay

    Punguza uzito kwa afya na neolifeshake

    FAIDA ZA NEOLIFESHAKE -kupunguza uzito na kulinda moyo -inapunguza mafuta na ukubwa wa mwili -inapunguza kipimo cha mwili -kulinganisha urefu na uzito (body mass index)
  4. Sweetiecay

    Punguza uzito kwa afya na neolifeshake

    Epuka nyama uzembe, uzito na kitambi kwa kutumia neolifeshake iliyo katika ladha tofauti yaan vanilla, chocolate na strawberry,,,, kwa mawasiliano zaidi na jinsi ya kupata bidhaa 0759137319 au 0692408039.
  5. Sweetiecay

    Je, nimkabidhi Mke wangu ATM ili awe ndo incharge wa mambo ya fedha

    Baki na ATM card yako, kwa mapenzi zaidi acha pesa ya chakula kila siku halafu mara moja moja ama siku moja ktk wiki unampa pesa yake binafsi akajinunulie chochote sio sawa mpaka akuombe ombe utaona kero japo waweza usimuoneshee kuwa kwako ni kero,, lakini pia maisha kusaidiana mfungulie...
  6. Sweetiecay

    Wadada angalieni sana tabia yenu ya kuombaomba pesa kwa mpenzi wako

    hujaambiwa utoe pesa hovyo, unaempa ni mtu wako so utaweza kuona ama kufahamu kiurahisi kwamba yuko timamu ktk matumizi ya pesa ama ni sifuri USIMPE TENAAAA,, ni uamuzi wako
  7. Sweetiecay

    Wadada angalieni sana tabia yenu ya kuombaomba pesa kwa mpenzi wako

    we umeombwa pesa toa pesa then kama ni timamu ama sifuri ndo utajua hapo
  8. Sweetiecay

    Wadada angalieni sana tabia yenu ya kuombaomba pesa kwa mpenzi wako

    ni wajibu wa mwanaume kumtunza mwanamke sio mpaka aambiwe
  9. Sweetiecay

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    haijalishi anaishi wapi ila kama mapenzi yapo basi hayo mengine ni ziada kuyafanyia marekebisho
  10. Sweetiecay

    Wadada angalieni sana tabia yenu ya kuombaomba pesa kwa mpenzi wako

    Tangu mwanzo mwanaume ndie mtafutaji na kumtunza mwanamke, asipokuomba wewe ataenda kuomba pengine, mpaka hapo you are already a loser ,,, na asipokuomba ukaona ndo vizuri still you are a big loser kwasababu ataishi na wewe but kwake utakua kama picha tu no love
Back
Top Bottom