Recent content by sweetbert msechu Jr

  1. sweetbert msechu Jr

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya Shahidi Muhimu wa Chadema kwenye Kesi ya Wabunge 19 wasio na chama , atarajiwa kuwastaafisha Maofisa wa NEC na Bunge

    Kabisa Mungu anamlinda na si tumlinde pia hadi mbivu na mbichi zijulikane.
  2. sweetbert msechu Jr

    JamiiForums Tanzania Tanzania imepata Mama mpenda haki

    Hadithi njoo utam kolea... [emoji1][emoji2][emoji1][emoji2]
  3. sweetbert msechu Jr

    JamiiForums Tanzania Mbona wanawake wakijiweza kidogo tu kiuchumi wakalingana na wanaume wanakuwa na dharau?

    Alikuwa kwako ila hakuwa wako.. Hapo ulikwa unaliwa timing tuu yaani ulikuwa kama chanzo flani hivi kajishikiza kwa malengo yake alikuwa anakula na kipofu sasa kashiba mwache aende vinginevyo utakuja jutia zaidi ndo maisha babuu...
  4. sweetbert msechu Jr

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mpangieni Lissu mavazi kipindi cha Kampeni

    Wanaojielewa hawafwati nguo .. Wanafwata sera .. Mbona nyerere alikuwa anavaa kaunda 98% bado akapigania uhuru na akaupata kiulaini ...
  5. sweetbert msechu Jr

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Mama rungwe [emoji23][emoji23][emoji23]
  6. sweetbert msechu Jr

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    #Niyeye
  7. sweetbert msechu Jr

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

    Kaenda kuchukua kimbunga tumpe muda kachero wetu [emoji23][emoji23][emoji23]
  8. sweetbert msechu Jr

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    [emoji482][emoji481] makinikia Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
  9. sweetbert msechu Jr

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango kwa hisani ya Vodacom wametupa taswira halisi ya wapinzani wetu

    Usitengeneze hoja ya kuhalisha madudu yanayofanywa na [emoji482][emoji481] kumbuka haya hayasemwi kufurahisha unati bali kuuonyesha umma jinsi serikali hewa inavofanya vitu kihewa hewa... Na hii inabaki mioyoni mwa raia 2020 labda utakuwa na jibu lililonyooka.. Alisema ukivurunda ukatumbuliwa...
  10. sweetbert msechu Jr

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Mwigulu na Bulaya kwa kuzungumza ukweli juu ya kupigwa kwa Lipumba

    Kwa jinsi hii nchi inavyo pelekwa pelekwa na hawa waliofikia mwisho wa ushika Dola via Polisisiemu.. laiti hii nchi ilipofikia sasa ingekua ni hiace nimepanda ningeomba kushukia njiani cz tunapoelekea.. only God knows.. Viva Ukawa.. Mtu hana hata jiwe wapiga ka umekamata akishababu.. Pole...
Back
Top Bottom