Mimi nina kero kadhaa kama ifuatavyo..
1.Kuna shule nyingi ambazo zinajulikana kama shule za umoja wa wazazi wa ccm...
Shule hizi nyingi zinaendeshwa kwa ada za wanafunzi bila kupata msaada/ruzuku yeyote kutoka au serikalini au kwenye chama,lakini cha ajabu makusanyo ya ada yanaponoga...
Labda muungano ni muhimu,lakini nafikiri si wa lazima kiasi cha kutupasa kuutetea hata kwa ghalama ya kumwaga damu kama dalili zinavyoonesha.Lakini pia tusizipe dalili hizi jina jingine labda na zuri zaidi ya jina lake halisi la "DALILI ZA VITA"
Pole nadhani we' c sehemu ya M4C (hautaki walao kubadilika),kukubali kwamba ccm wanatuumiza,na kwa 7bu hiyo unawakwaza wanaoitakia mema nchi.
Keep mum kama hauna cha kuongea,pia ni busara.
I hope u don' mind,hey....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.