Recent content by Sweetbert Bikonya

  1. Sweetbert Bikonya

    Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state

    Muandishi wa makala hii usimdaganye Rais wetu kuhusu tamko la AU.Nami namuomba Rais wetu kwamba tenda kwa akili kwa maana ya hekima na maarifa upate majibu sahihi.Huyu aliyeleta mada nina wasiwasi naye kwamba anataka ubebe ushauri wake ili matokeo yakitoka ushindwe!!,unawezaje kutolea mfano kwa...
  2. Sweetbert Bikonya

    Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    Pole kama ujaelewa maandiko kwenye biblia.Hayo ni maneno ya Mungu na yanaishi hata leo. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Sweetbert Bikonya

    Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    Uchawi huo maana imeandikwa usimwanamke mchawi kuishi na pia imeandikwa Hapana uganga wala uchawi juu ya Yakobo.!!;maneno hayo ya Mungu yawe halisi kwako wewe uliyepost ujumbe huo. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Sweetbert Bikonya

    DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

    Maelezo yako yote yamekaa kisiasa zaidi.Ukisoma kwa makini utagundua hilo na wala haliitaji elimu.Nikuulize ni nchi gani iliyofanikiwa bila kufuata sheria za nchi ikiwa pamoja na katiba iliweza kuendelea.?.Mpango yuko sahihi kabisa maana anafuata sheria zilizotungwa na bunge na mkuu wa mkoa...
  5. Sweetbert Bikonya

    Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

    Sio kwamba sijakuelewa bali hata nikikuelewesha bado utatumia akili zako kutafuta majibu!:Ndio maana nimekujibu kwa ufupi kwamba ili uijue biblia omba roho mtakatifu akufumdishe utaielewa vizuri!,Kwa ufupi ni roho mtakatifu afundishaye kila anayeitaji kujifunza biblia si mwanadamu maana...
  6. Sweetbert Bikonya

    Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

    Ukitumia akili zako kuisoma biblia hakika hutaielewa biblia.Jitaidi sana uombe roho mtakatifu akufundishe akuonyeshe na akupe tafsiri ya yalioandikwa kwenye biblia.Mwisho biblia ujue imeandikwa kwa kuongozwa na roho mtakatifu,kuna maono kwenye biblia hivyo ni ngumu kutumia akili zako kuielewa...
  7. Sweetbert Bikonya

    Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

    Wewe umemuelewa kivipi? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Sweetbert Bikonya

    Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA

    Shida na wewe mtoa mada biblia bado hujaielewa na tafisiri ndio shida kwako',mfano ukisoma mathayo 4:1-11 ni kweli alifunga siku 40 lkn Yohana 2:1haisemi siku tatu baada ya kubatizwa yesu alikuwa kwenye harusi ya Cana!!bali inasema na siku ya tatu palikuwa na harusi huko Cana(kana)na mama yake...
  9. Sweetbert Bikonya

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    srmbarack, Kuna tatizo la kupeleka jina Brela mwisho wa siku unakuta jina ulilopeleka limeuzwa. Hii imekaaje kisheria maana mimi nilipeleka jina la Biko ambalo ni kiunganishi cha jina la baba matokeo baada ya miezi kama 2 nikakuta limeuzwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Sweetbert Bikonya

    Makambo ni bonge la mchezaji!!

    Ni mapema sana kuona uwezo wake,tuangalie mechi kama 5 tuweze kuongea kiwango chake Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom