Recent content by SWEEPER

  1. SWEEPER

    Kauli ya Magufuli juu ya NEMC kuchelewesha kiwanda cha betri yapingwa na waziri wa mazingira na mkuu wa Pwani

    Magufuli anaifahamu NEMC vizuri na alichosema kilikuwa sahihi kabisa. Ndio maana Naibu Waziri alifika eneo la tukio na kuweka mambo sawa na kuonyesha sababu zinazopelekea NEMC kushindwa kuapprove EIA kwa baadhi ya miradi kwa wakati
  2. SWEEPER

    Kauli ya Magufuli juu ya NEMC kuchelewesha kiwanda cha betri yapingwa na waziri wa mazingira na mkuu wa Pwani

    Hoja hapa ni kwamba Naibu Waziri na Mkuu wa Mkoa hawakumpinga Rais kuwa cheti hakikuchelewa kutoka kama ambavyo mwandishi anavyoshawishi bali walieleza sababu za kuchelewa kutoka Cheti cha EIA ambacho NEMC ndio taasisi husika
  3. SWEEPER

    Kauli ya Magufuli juu ya NEMC kuchelewesha kiwanda cha betri yapingwa na waziri wa mazingira na mkuu wa Pwani

    Heading ya hii habari imejaa uchochezi na inalenga kusababisha mgongano baina ya Rais na Mteule wake kwa maslahi ya mwandishi na wengine wenye malengo ya aina hiyo. Haiingii akilini kwa mtu yeyote kuamini kwamba mtu aliyetumwa kazi maalum na Rais ambaye kabla ya kutoa maelekezo anakuwa na...
  4. SWEEPER

    Maajabu katika Website ya Bunge

    Ukiwauliza CHADEMA watakwambia si mwanachama hai
  5. SWEEPER

    Maajabu katika Website ya Bunge

    Yawezekana nayo pia bado inalipwa kuokana na uzembe kama huu
  6. SWEEPER

    Maajabu katika Website ya Bunge

    Eti hawa nao bado ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa tovuti ya Bunge; 1. William Mgimwa (Mb) jimbo la Kalenga 2. John Damiano Komba (Mb) Jimbo la Mbinga Magharibi 3. Zitto Zuberi Kabwe (Mb) Jimbo la Kigoma kaskazini 4. Bwanamdogo Ramadhan Said (Mb) Jimbo la...
  7. SWEEPER

    Nkamia: Hivi sheria ya kudhibiti kelele itaweza ogelea maji Serikali iliyoyavulia nguo?

    Ungefanya juhudi ya kutafuta kanuni hizo kabla ya kuleta huu uzi. Hizi kanuni zimeweka viwango vya kelele vinavyoruhusiwa katika maeneo mbalimbali. Pia ni lazima ithibitishwe kwa vipimo kuwa kelele hizo zimevuka kiwango kinachoruhusiwa. Hivyo baadhi ya kelele kama adhana zinaweza zisiwe na zuio...
  8. SWEEPER

    Naamini CCM wamepiga vibaya mahesabu ya siasa za Zitto na ACT yake

    Baba atamjibu vipi mtoto aliyewehuka. Walidhani atawasaidia kuponda upinzani. Wanashangaa anapeleka mashambulizi home hapo majibu yatatoka wapi?
  9. SWEEPER

    Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

    Only in the United Republic of Gombe
  10. SWEEPER

    Singa Singa ameiweka serikali ya Kikwete mfukoni

    Hakika umeandika historia katika hili Taifa ambalo huko nyuma mabepari na hasa "Economic Hit Men" waliliogopa kama koma. Bravo kwa kucheza game na mihimili ya Taifa la Tanzania kama unavyopenda kwa kuwa 'mazingira' yanaruhusu. Juzi ulijaribu kutikisa bunge ukashindwa leo umeaua kutikisa Serikali...
  11. SWEEPER

    Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

    Choo pia ni makazi ya mende na mazalia muhimu ya nzi wanaosambaza magonjwa hatati sana.
  12. SWEEPER

    Msaada: Nilipotelewa na Bag langu ndani ya basi la Abood

    Pole sana mkuu. Wizi wa aina hii ni kawaida sana katika vyombo vyetu vya usafiri hususan kwenye mabasi ya Abood. Jamaa yangu aliibiwa bag la laptop kwenye Abood kabla hata basi halijaondoka Ubungo Terminal. Kuna wataalam wanaingia kama abiria lakini mchezo wao kuscan mabegi ya laptop na ukizubaa...
  13. SWEEPER

    Mh. Joseph Mbilinyi

    "CHUKI BINAFSI" Hata mwendawazimu anaweza kujenga hoja mkuu
Back
Top Bottom