Recent content by Swat the don

  1. Swat the don

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    safari ni October, wazalendo
  2. Swat the don

    JamiiForums Tanzania TRA news - change of venue for interview

    hii serikali yetu bora itoe tamko maana kila cku tunajipa moyo may be next week na week inakatika Mara mwezi still upo home,
  3. Swat the don

    JamiiForums Tanzania TRA news - change of venue for interview

    brother we acha tu? niliitwa then nikashit kisa kuna issue mbili zilitiki kwa wakati moja, sasa huku wanasubiria tamko la mheshimiwa, tangia mwez wa 6 mpaka leo naona bila bila, yaan wee! acha ngoja tusubiri may be neema hipo mbeleni
  4. Swat the don

    JamiiForums Tanzania TRA news - change of venue for interview

    tareh ngap? ile ambayo ilikuwa inafanyika tareh 23/07/2016 au IPI hiyo?
  5. Swat the don

    JamiiForums Tanzania Kazi mwenye diploma ya account toka CBE

    mm
  6. Swat the don

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    unga 0714456995
  7. Swat the don

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    hapo ni mpaka mwezi wa 9, either mwanzon au mwishon, it depend na mujibu wa sheria wanamaliza lin? but wenyewe wanamaliza wa 9 na wakumi wanaenda vyuoni, so chamsingi kuwa na subira, piah! shukuru kwa vile umeshajihakikishia nafasi yako, na piah! tunza mtaji wako afya na usije ukajihusisha na...
  8. Swat the don

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    brother nadhani watu wote wangekuwa kama ww, kusingekuwepo mtu kutimiza ndoto zake, unachofanya sio sahihi assume ww wangekutisha hivyo usingefanikisha malengo yako, watie moyo kama wadogo zako, ata mzazi akijua mwanae anapenda kitu fulani ata kama ni kigumu hawezi kumfunja moyo bali atamtia...
  9. Swat the don

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    waziii! afande
Back
Top Bottom