Mkuu mbona unafukua makaburi tena?tareh ngap? ile ambayo ilikuwa inafanyika tareh 23/07/2016 au IPI hiyo?
brother we acha tu? niliitwa then nikashit kisa kuna issue mbili zilitiki kwa wakati moja, sasa huku wanasubiria tamko la mheshimiwa, tangia mwez wa 6 mpaka leo naona bila bila, yaan wee! acha ngoja tusubiri may be neema hipo mbeleniMkuu mbona unafukua makaburi tena?