Recent content by Sware

  1. Sware

    TANZIA: Mbunge wa Geita Mjini, Donald Max afariki Dunia

    Apumzike kwa amani maskini! Ameteseka sana.
  2. Sware

    Mwigulu Nchemba ndani ya Emmanuel Tv kwa TB Joshua

    Umeongea kabisa ukweli ambaov hata mimi naujua!
  3. Sware

    Kwa Warangi tu...!

    Tenga sana shemeji yetu!@ hajurangoo
  4. Sware

    Kwa Warangi tu...!

    Namwari kura ba nini halafu nakutangire wee sha mwanamaka!
  5. Sware

    Mwigulu Nchemba atua jimbon, aanza na michezo, Ujenzi wa Chama na Maendeleo

    Hongera zake,nimeipenda hii baada ya kazi ngumu ameenda kujifurahisha na wananchi,saafi sana.
  6. Sware

    MMU nimefiwa

    Pole sana!
  7. Sware

    We mdada, kwa taharifa yako tu.

    mi napita tu hapa>>>>>>>>>>:tape2:
  8. Sware

    Johannesburg hotel Sinza mnazalilisha wateja kwa kudai risiti za TRA?????

    Asante kwa ushauri!ila inauma mtu unadai kitu halali yako matokeo unadhalilishwa kama kibaka!!!!!!
  9. Sware

    Johannesburg hotel Sinza mnazalilisha wateja kwa kudai risiti za TRA?????

    Ndo vinywaji gani hivyo?tulikula na kunywa na bill kubwa ilikua kwenye chakula,au risiti hatutakiwi kupewa?
  10. Sware

    Johannesburg hotel Sinza mnazalilisha wateja kwa kudai risiti za TRA?????

    Bill kubwa ilikua ya chakula na pia hatukulewa tadhali!
  11. Sware

    Johannesburg hotel Sinza mnazalilisha wateja kwa kudai risiti za TRA?????

    Hatukulewa sana tena ni mimi na shemeji ndo tulokua tunakunywa bia mdogo wangu wala alikua hanywi kilevi!
  12. Sware

    Johannesburg hotel Sinza mnazalilisha wateja kwa kudai risiti za TRA?????

    Preta,basi wangekuwa wastaarabu sio kutudhalilisha vile jamani,risiti si haki yetu au?
  13. Sware

    Johannesburg hotel Sinza mnazalilisha wateja kwa kudai risiti za TRA?????

    Nimekupata sorry nna hasira sana na hii hotelkwa kweli!HiyoMan U ya huko Lindi kuna Rooney pia au? ila naomba unambiekuna kosa kudai risiti ya halali?
  14. Sware

    Johannesburg hotel Sinza mnazalilisha wateja kwa kudai risiti za TRA?????

    Hii imekaajae tumekaa pale Johannesburg hotel Sinza,tumekula tumekunywa baadae tunaletewa bill iloandikwa kwa mkono then tukaomba ile ya TRA,kilichotupata baada ya hapo ni kuitwa wahuni na meneja kutaka kupigana na sisi na kutuita wahuni wa Tandale na kutuitia walinzi na kututoa nje kama...
Back
Top Bottom