Recent content by swairuther

  1. S

    JamiiForums Lusinde: Lowassa ujana Kala CCM leo hana nguvu anashikiliwa atembee ndo anajiita Kamanda

    Rais tuu amejaliwa busara anamuheshimu sana mzee huyu,huyu jamaa ni muhuni tuu asinge mtusi mzee wa watu namna hiyo, sijawai muona huyu jamaa akiongea point zaidi ya kuwa mtaalamu wa maneno ya kuwachekesha watu,
  2. S

    JamiiForums Gazeti la Tanzanite: CHADEMA, yajiandaa kwenda Ujerumani na Marekani mwishoni mwa mwaka: Lengo ni kuomba msaada wa kupambana na Serikali

    Inchi yetu ni ya kidemokrasia,ni ya vyama vingi hivyo kama wanakwenda kwa marafiki zao wala sio dhambi, akuna chama kisicho kuwa na marafiki , tatizo ni pale watakapo kuwa wanalengo la kuvuruga amani,
  3. S

    JamiiForums Sio siri, maisha mitaani yamebadilika. Sasa ni magumu!

    Mimi ninahisi serikari imejikita ktk kuwekeza katika miradi mikubwa ya maendeleo ndo maana hali iko hivyo lakini ninaamini faida yake awamu ama utawala mwingine hautakuwa na kazi kubwa kuwekeza ktk miradi mikubwa kwakuwa utawala huu utakuwa umetengeneza njia ya kudumu hivyo watu wataishi, kwa...
  4. S

    JamiiForums Hivi hizi kauli za Magufuli zitakuja ziwekwe na zisomwe kama zile za Baba wa Taifa huko mbeleni?

    Acheni kumzihaki rais, unauliza kuhusu kauli kusomwa akitoka madarakani, je zakikwete tuu wa jana zile zikizo rudiwa mara kwa mara kwenye tv zinasomwa! ziko wapi?
  5. S

    JamiiForums Mafuta ya kula yasiyotokana na mimea yanatokana na nini

    Nakushukuru ras jeff kwa kunijibu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    JamiiForums Mafuta ya kula yasiyotokana na mimea yanatokana na nini

    Naomba kujua mafuta ya kula yasiyotokana na mimea mfano, korie, yanatokana na nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    JamiiForums Msiba wa Mh. Sugu: Anguko la maadili ya kitanzania ni kubwa mno

    Huyu ni mpinzani ndo maana hawajaenda, tumefikia pabaya kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

    Ngoja niwaambie kitu kimoja, kuwa na mali ya udhalim ni dhambi kubwa sanaa, lakini ktk siku za leo kuna watu wanaofikilia kuwa kila kiongozi mwenye mali amepata kwa udhalimu, hii hapana, ukiwa mwaminifu ktk Mungu, Mungu huwa anabariki, mfano, humpa mtu mawazo mema ya kutambua fulsa na akisha...
  9. S

    JamiiForums Tetesi: Prof Kabudi anaweza kuwa next president of Tanzania 2025

    Majaliwa vipi? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    JamiiForums Mzee wa miaka 104 aliyeomba kujiua hatimaye ajiua kwa sumu

    Kuishi muda mrefu (miaka mingi) ni upendo wa Mungu ili mtu aweze kupatana na Mungu na si kwamba muumba anawasahau wenye miaka mingi, anawajua vizuri na anajua changamoto gani watu kama hao uzipitia , lakini huku ni kujipeleka pabaya
Back
Top Bottom