Recent content by swaie

  1. S

    JamiiForums Tanzania Si haki! 'Panya road' wametulaza saa mbili jana!

    polisi jamii lugha ya kisasa la zamani sungusungu. polisi jamii ni bora zaidi kuliko official police maana polisi jamii mnakuwa mnajuana nirahisi kwanza kuwajua hao panya road hata kwa majina coz tunaishi nao mtaani
  2. S

    JamiiForums Tanzania Si haki! 'Panya road' wametulaza saa mbili jana!

    poleni jamani kwani tabata hakuna polisi jamii
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara

    sijui upo mkoa gani kama ni dar jaribu kwenda karume
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata kazi kirahisi

    vijana wengi tunatamani kujiajiri tatizo mitaji hakuna bank wanataka hati ya nyumba au gari af unakuta ndo umemaliza tu chuo unapataje mkopo.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

    thnx a lot
Back
Top Bottom