Recent content by SWAHILIYA

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kaimu Abdi Mkeyenge: DG mpya wa NIC

    Amefanya vizuri sana kuibadilisha TASAC na Mheshimiwa Rais amwemwamini na kumpa shirika la bima la taifa, NIC
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    I believe uozo ni bakwata nzima na sio huyu mussa peke yake
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kikwete ni Rais aliyetumia miaka minne nje ya nchi. Serikali yake ilikuwa na pesa ya kulipa kila mtu

    Bagamoyo si aipata dola bilioni 10 toka kwa wachina kujenga bandari kubwa kuliko zote Africa? sasa mnataka nini tena?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwinyi: Nchi sasa inakwenda kama Gari bovu

    allah amlinde
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Ali Hassan Mwinyi alifanya makosa kuruhusu demokrasia na Vyama vingi Tanzania?

    mungu azidi kumpa uzima , uhai na afya
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu, Alhajj Ali Hassan Mwinyi atimiza miaka 92

    Mzeee wetu Furaha yetu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa wana Mzizima aka Dar es Salaam

    Makaburi ya Kisutu wakati wa Kumzika mzee wetu Kleist Sykes
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Leonidas Gama na Kleist Sykes ni hii hapa

    .....
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Leonidas Gama na Kleist Sykes ni hii hapa

    Its more to do with content of the subject matter na ma referee au wenye hiki chombo huwa un comfortable with some truth from wachangiaji kama akina Mohammed Said na hususan kwenye popular subforum ya Jukwaa la siasa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Leonidas Gama na Kleist Sykes ni hii hapa

    Nakubaliana na wewe kwenye kuchangia lakini mpaka uzi unaanzishwa on the subject ujue kuwa kuna pattern and its very disturbing
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Leonidas Gama na Kleist Sykes ni hii hapa

    Wote walikuwa ni wanasiasa japo Sykes na family yake walikuwa na mchango mkubwa zaidi Keist na Leonidas wamefariki in a span of 24hrs from each other Wote threads zao zililetwa kwenye jukwaa maarufu zaidi la Jamii forums (Jukwaa la Siasa) ambalo huwa lina mjiadala mirevu na lenye kuvutia...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa wana Mzizima aka Dar es Salaam

    Unajua kwamba eneo la MNAZI MMOJA Dar es Salaam miaka ya 1960-1970 lilikuwa maarufu kwa jina la TUA TUGAWE? Unajua jina hilo lilipatikana vipi? Jina hilo lilitokana na uwepo wa wababe wa mji enzi hizo katika eneo hilo ambao walikuwa wakiwasubiri kina mama wanaopeleka vyakula kwa mafundi na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa wana Mzizima aka Dar es Salaam

    UNAJUA "FIRE" PALIKUWA PANAITWAJE? Vijana wengi wa Dar es Salaam leo hii ukiwauliza "Unapafahamu MWEMBETOGWA?" watabaki wanakuangalia tu kwa mshangao. Sasa kuanzia leo noamba mfahamu kuwa sehemu ambayo siku hizi inajulikana kama "Fire" au 'Faya' pale ambapo kuna traffic lights zinazoongoza...
Back
Top Bottom