Recent content by Swahili Bulletin

  1. Swahili Bulletin

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Game ya Fiorentina na Napoli ina magoli Kama Mvua 3-4 do 73
  2. Swahili Bulletin

    JamiiForums Tanzania TTCL: Hakuna tena kifurushi cha chuo (Boom pack) ttcl!!

    Ttcl wamekuwa konokono
  3. Swahili Bulletin

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Wadau mkuje hapa, yamenikuta nami. Dawa inahitajika aisee. Nakosa kabisa amani
  4. Swahili Bulletin

    JamiiForums Tanzania Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea?

    Aisee!! Mwanzoni mwa mwaka huu nikiwa kwenye mwendo Kasi pale fire, majira Kama ya saa moja jioni hivi; Nikaingia kwenye Basi lilitoka Kivukoni kuja Kimara. Basi tukapita Magomeni mapipa I think, gari ikiwa imejaa vibaya hata kugeuka tabu, nikamuona binti mmoja kajiinamia. Ukapita muda kidogo...
Back
Top Bottom