Recent content by Swahib Sinjo

  1. Swahib Sinjo

    Watoto wangu hawasikii hata ukiwachapa fimbo. Naombe ushauri wa viadhabu vidogo vidogo mbali na fimbo

    Vyote vinazingatiwa mkuu ndo maana nimekuja kuomba ushauri wa aina za adhabu ambazo zinaweza kuwasaidia kubadilika
  2. Swahib Sinjo

    Watoto wangu hawasikii hata ukiwachapa fimbo. Naombe ushauri wa viadhabu vidogo vidogo mbali na fimbo

    nilishawapangia sana mkuu, kwa mfano nilishawaambia kuwa wanapomaliza kula esp usiku ni lazima waoshe vyombo walivyotumia kabla ya kulala maana mpaka mende walijaa ndani sababu ya vyombo vichafu vinalala kwenye sinki na mabaki ya chakula, ukiwasema watafanya siku ya kwanza baada ya hapo...
  3. Swahib Sinjo

    Watoto wangu hawasikii hata ukiwachapa fimbo. Naombe ushauri wa viadhabu vidogo vidogo mbali na fimbo

    Habari za majukumu, Ninakaa na watoto watatu wa kuamzia miaka 8 mpaka 19, watoto hawa yaani ni awasikii kiasi kwamba hata chumba chao tu wanacholala kutandika au kufanya usafi ni mpaka uwasimamie, huko bafuni waakooga ndo usiseme ukiingia tu unakaribishwa na harufu kali mpaka vigae...
  4. Swahib Sinjo

    Viwanja vinauzwa Kigamboni Dege

    Mkuu, ungeweka maelezo ya kujitosheleza na picha zinazoonekana vizuri ili mpaka mtu anaamua kukupigia simu anakuwa ni mteja kweli na sio muuliziaji tu!!!
  5. Swahib Sinjo

    Ni kwanini game ya Yanga imeahirishwa lakini ya Simba haikuahirishwa?

    Mechi za team zote mbili ziliahirishwa isipokuwa simba wenyewe baade ndo waliomba wacheze mechi yao na pamba kama ilivyokuwa kwenye ratiba ya awali.
  6. Swahib Sinjo

    Yajue Maisha yalivyo jela

    Hivi inawezekana kwa mtu binafsi kwenda tu pale gerezani ukasema nahitaji kuonana na wafungwa na ukaruhusiwa???
  7. Swahib Sinjo

    Rafiki yangu kanipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake mwenyewe

    Ni wazo zuri japo nauona ugumu sana huko maana kumbuka mama wa kambo anaweza kumtisha mtoto ili asiseme ukweli, mnafika huko mtoto anaulizwa anakataa katu katu kuwa hajawahi kuteswa so ushahidi unakosekana na inaonekana mama wa kambo kasingiziwa halafu wanarudi nyumbani mtoto ata-pay the price...
  8. Swahib Sinjo

    Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

    Binafsi namsikitikia sana huyo mdada wa watu aliyekupenda kwwa jinsi ulivyo na mpaka ukaenda kumtolea mahali halafu ukamuacha, Nina wasiwasi sana na huyo mtoto kama ni wako, kitendo cha mwanamke kuwa na ujasiri wa kutuma picha za uchi wake akijichezea tena kwa mwanaume ambae hampendi hiyo tu...
  9. Swahib Sinjo

    Pika popcorn simple kwenye jiko la gesi nyumbani

    ndonya ndo nini mkuu??
  10. Swahib Sinjo

    Tabia za mke wangu zimenichosha, nafikiria kumuacha

    Sasa ndani ya miaka minne inashindikana nini kupata watoto wawili??? Tatizo bado mvulana ila ukikua utaelewa!!!
  11. Swahib Sinjo

    Kati ya vitabu vitamu nilivyowahi kuvisoma

    KUI YA HAKI NA HIBA YA WIVU
  12. Swahib Sinjo

    Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

    Kama story yako ni ya ukweli safi sana baharia!!!
  13. Swahib Sinjo

    Kuchunguzana kwenye ndoa ni udhaifu

    Nadhani sio sahihi kwa kukaa kwa kuchunguzana siku zote isipokuwa kama umeanza kuona dalili au viashiria fulani hapo unaruhusiwa kuchunguza ila kabla ya kuanza kuchunguza lazima uwe majibu yote mawili kwamba uchunguzi wako ukija negative utafanyaje na ukija positive utafanyaje na sio...
Back
Top Bottom