Recent content by swabra chicharito

  1. swabra chicharito

    Pitia hapa plizz

    awe na pass 4 form four na gp. ya 2.7
  2. swabra chicharito

    Pitia hapa plizz

    awe na pass 4 na gp. ya 2.7
  3. swabra chicharito

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    hi bro samahan kwa usumbufu ninaomb material ya crimina law yenye actus reus na means rea na exption zake ampazo zina kesi za tz plz bro
  4. swabra chicharito

    Msaada wa haraka kuhusu talaka

    ndoa ya kanisani ni kuvunjwa kwake ni kwa kufanyiawa separation bth husband and wife.
  5. swabra chicharito

    Msaada wa haraka kuhusu talaka

    means yey ataitwa kipind kesi itakapo funguliwa yaan hpo una mashitak nawil lakwaza ni kutekeza familia na lapili ni kutok nje ya ndoa
  6. swabra chicharito

    Msaada wa haraka kuhusu talaka

    yAp lazim na yey awwpo kujibu mashtak kwa nn alitekelez familia so utapew summons ya kumuit yey aje kujuwa km umefungua shaur la kuomb tarak na hutaki ndoa yako irekebishwe ila mwisho wa siku talaka itatolewa
  7. swabra chicharito

    Msaada wa kisheria kuhusu muda wa mtuhumiwa kukaa polisi kabla ya kupelekwa mahakamani

    ni 24 hours na km ajapelekwa inabidi andike ombi kwa police apelekwe mahakaman na km wakikataaa tafuten mwanasheria apew barua ya maomb ya kufunguliwa kesi mahakaman ikiwa imeambatanishwa na chamber summos supported by affidavity. maan huyo anahak hat ukisom under section 64 ya criminal...
  8. swabra chicharito

    Msaada wa haraka kuhusu talaka

    hilo kosa ni ushahidi tosha kufany marriage kuvunjika bila marekebisho ambayo ipo katik section 107(2) of law of marriage act so ww nenda mahakam ya mwanzo kaomb talak yako kwa kosa la kuitelekekez familia kutokan na kosa hilo
  9. swabra chicharito

    Transfer ya chuo

    km mbeya unaeza ukapat coz nafasi bdo zp bt subir online
  10. swabra chicharito

    Kamatakamata huko kijijini

    kwa hapo mkataba ulikuwa wa rafik yako na xx na yy hakuwepo so yy ni third part ktk hayo makubaliano na kam tunavyojuwa third part han haki ya kushtak wala kushtakiwa so yy yey alitakiwa amshtaki xx na na sio yy na ndio maan huyo ndugu yako aliamua kumalizan na xx coz ndio walio kuwa ktk biashara
  11. swabra chicharito

    Natafuta marafiki

    taufa inabid mlikomboe nyie now ili sis tuje tu tuishi kwa aman
  12. swabra chicharito

    Natafuta marafiki

    pouh ucjl kusom kupo tu mwaya mkubwa
  13. swabra chicharito

    Natafuta marafiki

    pwhx mzm ww
  14. swabra chicharito

    Natafuta marafiki

    duuh am not tom boy baaan bt ndii mm huyo
  15. swabra chicharito

    Natafuta marafiki

    nimesema msinishushuw sijasem kusumbuliwa
Back
Top Bottom