Recent content by svoca

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi Niko Jijini Mwanza

    Toa msaada maswal mengi ya nn?
  2. S

    JamiiForums Tanzania hawa jamaa wa british center wa kwa azizi ali wanatoa ajira gani?

    Hahahaaa!A na B sahihi hao jamaa ndo hvo hvo ninawafahamu vzuri sana na pale kwa azz ali walianza karibu miaka kumi ilopita
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwl.hamia Bahi nije morogoro popote au pwani.

    Husika na kichwa hicho cha habari,nina mdogo wangu ni mwl wa sekondar yupo bahi Dodoma anataka wa kubadilishana nae maeneo kama hayo msaada wadau.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Utumishi kwanini wamefanya hivi?

    MUNGU ni mwema mm naamini mtairwa tu tena zaid ya hzo nafas zilizobaki,watakuwa wanaweka mambo sawa mtaitwa tuu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wale waliopangiwa na utumishi sikonge tukutane hapa

    Hayo mambo ya kuanza kukusanyana yamepitwa na wakati ilikuwa zama.za kwenda kuripot shule
  6. S

    JamiiForums Tanzania Samahani naomba kuuliza

    Habarini sa asubuhi wapendwa!naomba kujua nasikia matokeo drs la saba yametoka nimehangaika kuingis ktk web ya necta siyaoni sasa naomba mwenye kujua link anipe nimchekia kijana wangu.
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Ninayempenda have jorned my heart

    Sijaelewa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada--nataka kurudi kwenye kazini serikalini!

    Hv jamani kwa hali tu ya kawaida mtu unaondokaje kwa mwajiri wako miaka mitatu bila kuaga?kama ni kusoma mbona waajiri wanaruhusu?then ukimaliza unafanya hiyo michakato ya recategorization?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada; nafasi hii ya kazi

    Mh!hakuna kitu kama hcho huo ni utapeli.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kuuliza jamani.

    nashukuru rafiki keep it up!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni dereva mwenye uzoefu anatafuta kazi.

    Jamani kuna huyo ndugu yangu namleta kwenu kwa sifa tajwa hapo juu na kwa kuongezea anayo leseni,anatafuta kazi ya udereva magari yeyote anaendesha,hvo ukiwa wewe mwenyewe rafiki,ndugu yako au rafiki yako anahitaji dereva tusaidiane kwa hili please ,!yeye anapatikana Dar es salaam. Lakin pia...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mabinti wawili wanatafuta kazi ndani

    Ama kweli mjini shule shamba darasa.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kuuliza jamani.

    Natarajia kutokea Arusha ndugu yangu.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kuuliza jamani.

    thanks be blessed
  15. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni kuuliza jamani.

    Habarini wadau,ninaomba kupewa uelekeo kwa wenye uzoefu huu,kama ninakwenda mkoani geita kutokea mikoa ya kaskazn hususani Arusha kwa mabasi ni njia gani wanatumia,na naul ni sh.ngapi?Tafadhali
Back
Top Bottom