Msaada; nafasi hii ya kazi

Msaada; nafasi hii ya kazi

kinyangesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
247
Reaction score
86

  • Habari Ndugu zangu,
    Nahitaji msaada wenu juu ya taasisi hii, Mdogo wangu aliomba nafasi ya kazi 'Voters and Civic Field Education Officer' lakini ametumiwa email kuwa amekosa nafasi, pia amepangiwa kazi ingine. kinachonitia shaka mpaka kuja kuwauliza ndugu zangu ni kuwa anapaswa kutoa kiwango cha fedha ili tu kucertify vyeti vyake. Ni kitu kipya kabisa kwangu, sijawahi kusikia hili. Naomba uzoefu wenu kwa mnaoifaham taasisi hii, kilichonishtua zaidi ni kutuma ela kwa mpesa na tigo pesa(Namba hazijawekwa hapo pia). Nahitaji uelewa wenu pia ushauri wenu maana dogo hana kazi lakini hii imenishtua kidogo. Tangazo la kutuma ela hilo hapo chini.

    Legal.jpg
  • 2015 Tanzania Democracy Support Project (TDSP)

    Please read the information in this sheet, then send your scanned certificates and certification costs as instructed below. Just in case you have missed the deadline we advise you to inform us via this email: inf@activist.com
  • Send your Scanned certificates(O-level,A-Level and or College/University) to; Mr Aloyce Shirima. Email: ashirima@consultant.com Along with Certification Costs of Tsh 51,500/= before the mentioned deadline. Please use the details provided ( M-Pesa or TIGO-Pesa to send your certification fee to the mentioned lawyer as instructed, and send him m-pesa/tigo-pesa transaction message just to inform him that you have already completed the required procedure as instructed)Read the following step for Instructions
  • Certification Costs (Tsh 51,500/=)

    SEND Your Certification Costs to the Independent Legal Consultant, Mr Aloyce Shirima
  • M-Pesa : Aloyce Shirima ----
  • TIGO-Pesa : Aloyce Shirima
  • PLEASE Do Not Call These Numbers, Because it is will be impossible to Respond to all the calls while having other things to attend to
 
Asithubutu hao ni matapeli kama matapeli wengine smart
 
Kaeni mkao wa matanga!! hapa maana atalizwa mtu soon!!! hizo email za sampuli hio sio ngeni kaka inbox zetu wakati nasaka ajira!! kuwemakini wadau fanya research ya tangazo la kazi kwanza kabla ya ku apply zingatia haya;
1. Address zake zinapatikana? ingia mtandaoni na search hio web au address yao hapo ndio utaona kweli au la sababu hio taasisi inataka kukulipa 1.7 milion itashindwa vipi kuwa na web ya shilingi laki 3?????!! uta search huipati
2. Angalia jinsi tangazo lilivyo andikwa
3. Ogopa sana hizi recruit@hotmail.com au hr@yahoo.com
najua yapo mashirika yanatumia address hizo ila kuwa makini
4. Short deadlines since advert imetoka hii inataka kukutoa attention ili ujione soon utapata kazi
5. Attachments tapeli wangine hawataki kabisa vyeti au Cv wanataka barua tu

hayo tu wahanga wa ajira kuweni alerted

Almighty god help me to get strong relationship that will guide me to marriage:sad:
 
Pole hilo tangazo la kazi walilolitowa likikuwa la kitapeli na kuna mkuu humu humu jf alitowa onyo kuwa ni matapeli lakini hamkisikia mpaka mkaomba duh acheni kabisa kama mtu unahamu ya kutapeliwa wape hela
 
  • Habari Ndugu zangu,
    Nahitaji msaada wenu juu ya taasisi hii, Mdogo wangu aliomba nafasi ya kazi 'Voters and Civic Field Education Officer' lakini ametumiwa email kuwa amekosa nafasi, pia amepangiwa kazi ingine. kinachonitia shaka mpaka kuja kuwauliza ndugu zangu ni kuwa anapaswa kutoa kiwango cha fedha ili tu kucertify vyeti vyake. Ni kitu kipya kabisa kwangu, sijawahi kusikia hili. Naomba uzoefu wenu kwa mnaoifaham taasisi hii, kilichonishtua zaidi ni kutuma ela kwa mpesa na tigo pesa(Namba hazijawekwa hapo pia). Nahitaji uelewa wenu pia ushauri wenu maana dogo hana kazi lakini hii imenishtua kidogo. Tangazo la kutuma ela hilo hapo chini.

    Legal.jpg
  • 2015 Tanzania Democracy Support Project (TDSP)

    Please read the information in this sheet, then send your scanned certificates and certification costs as instructed below. Just in case you have missed the deadline we advise you to inform us via this email: inf@activist.com
  • Send your Scanned certificates(O-level,A-Level and or College/University) to; Mr Aloyce Shirima. Email: ashirima@consultant.com Along with Certification Costs of Tsh 51,500/= before the mentioned deadline. Please use the details provided ( M-Pesa or TIGO-Pesa to send your certification fee to the mentioned lawyer as instructed, and send him m-pesa/tigo-pesa transaction message just to inform him that you have already completed the required procedure as instructed)Read the following step for Instructions
  • Certification Costs (Tsh 51,500/=)

    SEND Your Certification Costs to the Independent Legal Consultant, Mr Aloyce Shirima
  • M-Pesa : Aloyce Shirima ----
  • TIGO-Pesa : Aloyce Shirima
  • PLEASE Do Not Call These Numbers, Because it is will be impossible to Respond to all the calls while having other things to attend to

yani watanzania bhana mpaka mtapeliwe ndiyo mrizike?
 
A.alaykum wadau wenzangu wa forum hii,
Binafsi roho inaniuma saana pale navyoona wadau wakitapeliwa na wangine bila kufahamu kuwa wanatapeliwa
Nilikua muhanga wa kutokua na ajira kwa mwaka 1 tangu nilipo graduate ila nilipata wakati mgumu sana wakati
nasaka ajira ila shukran kwa hapo!!
Lengo la kuanzisha uzi huu ili uwe msaada kwa vijana wenzangu sababu mimi pia nilikua mhanga ila kwa wale walio
maliza vyuo hii July au August wengi bado ni wageni katika harakati za kusaka ajira na kupata reliable source hivyo
wengi wao huishia kutapeliwa katika hiki kipindi cha mpito napenda kuweka baadhi ya maangalizo wakati unaomba
ajira sehemu au unapoliona tangazo la kazi pia hata kutumiwa na best ako!!

Angalizo

kuwemakini wadau fanya research ya tangazo la kazi kwanza kabla ya ku apply zingatia haya;
1. Address zake zinapatikana? ingia mtandaoni/google na search hio web au address yao hapo ndio utaona kweli ipo au la sababu hio taasisi inataka kukulipa 1.7 milion itashindwa vipi kuwa na web ya shilingi laki 3??!! uta search huipati
2. Angalia jinsi tangazo lilivyo andikwa wote wajanja hapa ila tunapishana uweledi tu sasa fix huwa zinajulikana na tu be smart and reasonable usiwe novice thinker
3. Ogopa sana hizi recruit@hotmail.com au hr@yahoo.com najua yapo mashirika yanatumia address hizo ila kuwa makini
4. Short deadlines since advert imetoka hii inataka kukutoa attention ili ujione soon utapata kazi
5. Attachments matapeli wangine hawataki kabisa vyeti au Cv wanataka barua tu
6. Certification charges wangine wanataka vyeti viwe certified hili sio tatizo ila shida inakuja pale upeleke viwe certified na mtajwa au mhusika wao tu hapo ujue manyoya

Nadhan itakuwa njema saana hii post ikawa sticky ili wanufaike na wangine wataokuja

Na watakia kila la kheri wasaka ajira mtatoboa tu soon kikubwa jipangeni vizuri wakati wa usahili pia ujue jinsi ya kujiuza na kuwa confident

Wa salaam!!
--------------------------------------------
Almighty god I ask you to help me find a Woman who will guide to marriage!!!
 
shukran mr. manumbi kwa kuwasilisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom