Recent content by suzie _barbie

  1. suzie _barbie

    Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani (1000kgs)ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala(Uganda)

    Habari wadau, Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu! Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala. Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana. Asanteni.
  2. suzie _barbie

    Ajali ya Kimara Stop Over kumbe kaka yangu naye alikuwepo!

    Pole sana mkuu.Mungu akutie nguvu and may his soul rest in Eternal Peace.
  3. suzie _barbie

    Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

    They are so bitter . Most men here are narcissistics,wanaombea mabaya tu wenzao .
  4. suzie _barbie

    Trump ashindwa kuelewa kingereza cha India, ahitaji mtafsiri

    The comments here are so funny hahaha
  5. suzie _barbie

    Arusha Baridi

    niache nini sasa
  6. suzie _barbie

    Arusha Baridi

    Nimepitia my thread since 2022 but I feel lonelier in 2025.
  7. suzie _barbie

    Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

    Inasaidia. I read about that idea kwenye kitabu na pia nilishawahi kusikiliza kwenye podcast ya Mel. But their idea ilikua kuandika the positive things or achievements however small au big it is, iandike kwenye karatasi and be proud of yourself. Don't let negativity in your way but celebrate...
  8. suzie _barbie

    Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

    Mimi naona hiyo namba 2 ni therapy nzuri sana.
  9. suzie _barbie

    Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

    1. Nalia sana sana 2 Nafanya usafi( Najikeep so busy) 3.Nakaa gizani na kusikiliza my inner spirit taratibu ikinipa moyo. 4.Sometimes, I read an interesting Book.
  10. suzie _barbie

    Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

    Because I expect to get a husband that I desire through only Miracles.
  11. suzie _barbie

    Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

    Nina wawili watulivu na,warembo. Subiri wamalize chuo then nitakutafuta
Back
Top Bottom