Recent content by SUWI

  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    hahahahahahahahhaahah,, kufwenda!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

    Hahahahhahahahah
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    Umekuwa mkweli..we kama unapenda kubaki CCM tulia tuliii hata ukiona ndivyo sivyo maana watakufurumusha!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    Ule wimbo wa tuna imani na Lowasa kumbe uliwakera sana eh..nimesikia leo mkuu akiongelea:D:D:D:D:D:D:D
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    Ningeelewa kama wangedil na wale wanaofuja mali za umma ambao ndo wamejazana CCM.. Hii ya kuwavua uanachama wenye mawazo tofauti ni udicteta na chuki. Huku sio kujenga chama ni KUTISHIA WANACHAMA WASITHUBUTU KUMPINGA MGOMBEA
  6. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kutoka kwenye mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema

    Unawaonea huruma ama unajionea huruma! Tanzania yetu sote lazima kieleweke hakuna kukata tamaa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kutoka kwenye mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema

    Vip jama mkutano umeisha salama? Manake wale jamaa wasivyojiamini wangeweza kuleta police waanzishe fujo. Lema Jasiri sana ila awe macho wivu kitu mbaya sana wasijem-maneno
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe asisitiza: Hatukubali TLS kujiingiza katika siasa

    wanaogopa nini
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Mbunge wa Arusha Godbless Lema apata dhamana

    Nenda taratibu wee Dunia ya Mungu hii
  10. S

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee atinga kituo cha kukusanya kura na "afisa" feki wa tume ya uchaguzi...

    Unatafuta point ehh.. nenda kalale
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wana'UKAWA ifikapo kesho tayari tutakua

    CCM LAZIMA WALALE.. Hutuwatakiiii.. mbona mnakuwa ving'ang'anizi Ondokeni mjaribu tena 2020
  12. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa UKAWA kuongea na Waandishi, baada ya kutoka Mahakamani

    Hapa kibaka ni ccm haswa..
  13. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Be carefu tena tubu haraka Mungu sio mwanadamu.. hakosolewi ana mamlaka yote,, ni wa haki.. yeye ni yule jana leo na hata milele tubu atakusamehe yeye ni mwingi wa rehema
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mzee MKAPA katika kibarua kigumu kuisafisha CCM Tanga

    Huyu mzee nashindwa kuelewa ni kwa nini anatukanatukana kama chizi
Back
Top Bottom