Recent content by suudy

  1. S

    Ali Kamwe: Simba hii ndo mbovu zaidi kilichobadilika ni jezi tu

    Tuachane na yoote hayo. Yeye Ali kamwe ni Simba au Yanga? Manara ni Simba au Yanga? Akina GSM ni Simba au Yanga? Woote hao ni Simba... hawaikamii Simba wanataka Mo Dewji Simba imshinde na aondolewe hapo. Ndipo mutakapo ona Tz timu gani itakuwa bora. Sasa Mo kangangania anajaribu jaribu saana...
  2. S

    BoT ichunguzeni Benki ya NMB inawanyonya wakopaji

    Kakopa 3m.. mfano riba asilimia 5. Kwa mwezi 150,000/= hakulipa inakuwa 3,150,00/= riba 5% inakuwa 3,315,00/= hiyo ni miezi miwili inaitwa accumulative interest, riba inapanda pamoja na mkopo na riba nyingine. Mwaka mmoja tokea millioni 3 inakuwa karibia 5,150,000/= ikiendelea kukaa ni majanga...
  3. S

    Jana tumewasiri sana watani(simba).

    Simba kweli haipo sawa lakini sio kwa wachezaji bali kiuongozi kuna jambo halipo sawa mambo ya umiliki wa Simba n.k. Yanga imetulia mwekezaji Gsm na mwenyekiti Gsm. Simba ?? MO anataka apewe Simba yote na hilo ni gumu. MWishowe uongozi wanahusika. Jana Yanga walicheza bila pressure wakifungwa au...
  4. S

    Ni aibu kwa Media, Waziri na Wachambuzi wa Michezo kutoa maamuzi Goli la Yanga bila kujiridhisha

    Timu nyingi mno zimeonewa. Hatua za awali ndio kabisa. VAR haina msaada. Goal technology ndio jawabu. Lakini ni gharama kubwa saana. Uonevu la Yanga cha mtoto. Fuatilia kuanzia mwaka 2000 kija 2023. Caf Champions league na hata Afcon pia. Na huko latin America ni kama sisi tu. Mpira ni pesa na...
  5. S

    Ni aibu kwa Media, Waziri na Wachambuzi wa Michezo kutoa maamuzi Goli la Yanga bila kujiridhisha

    Maradona alipofunga bao la kwanza Argentina vs England , World Cup 1986. Lilikuwa goli la Mkono lakini hakuna aliyethibitisha kwa 100% isipo kuwa yeye kukiri baada ya miaka mingi. Camera na Picha hadi leo hazikupi asilimia 100 . Wanaboresha miaka na miaka na bado binadamu hajakamilika. Yanga...
  6. S

    Yanga acheni Ushamba, barua mliyoandika ni ishara ya kukosa ukomavu

    England vs Germany world cup. Wakati mechi inaelekea half time bado 1-1. Lampard alifunga goli ilivuka line .ilikuwa iwe 2'-1 Ushahidi ulikuwa angle 7. Na camera 3D. Clear kabisa goli kuliko jana. Refa akakataa. Lakini VAR haikuwepo na goal tecnology haikuwepo. Na hao England walifaidika miaka...
  7. S

    Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Iwe upande wako saafi, siku ikigeuka inaumiza Roho. Basi ndio walimwengu.
  8. S

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Lakini tukumbuke Timu za ligi kuu Nbc zinapelekeshwa na hizi timu Mbili nchini. Dhulma karibia killa mechi wamesahau na hadi kudhulumiana wao kwa wao. Yakiwakuta huko kelele nyiingi. Acheni huku na kwingine haki itapatikana. Goli au sio goli angle za Camera zipo hovyo huwezi amua 100%...
  9. S

    Shabiby analipa kodi yoyote kwenye mshahara na posho zake?

    Mikopo miingi mengine hayalipwi, ardhi za upigaji, sio vizuri kuonyesha huruma au kutoa mawazo dhidi ya watu maskini sio vizuri. Wananchi weengi hali zao ngumu saaana. Tuone huruma na kama hali ilivyo sasa watu wanashida saana. Tunayaona. Ombi tu tukumbuke Kuna Mungu wao hawa wananchi. Bora...
  10. S

    Azam hawajapenda CRDB kudhamini FA

    Unamjua board Trustee -mwenyekiti Wa CRDB Bank- Abubakar Bakhresa.
  11. S

    Uchambuzi: Je, kuna watu wanaamini Simba itashinda kule Egypt?

    Hata kocha wa Al Ahly akiwa Simba hawezi kuitoa Al Ahly pia. Tatizo sio kocha ni una wachezaji wa kiwango gani na ubora upi? Simba msimu huu usajili haukuwa mzuri na isitoshe wachezaji tegemezi ni wale wale miaka tano sasa ingizo jipya hawana uzuri isipokuwa wachache labda wawili tena cha...
  12. S

    Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

    South Africa, nimeenda saana kumtibu mzazi wangu, hadi akaenda mbele ya haki. Wana hospitali nzuri saana illa gharama mno. Karibia miaka 6. Na killa mwaka naenda kwa biashara za spare parts na malori. Illa nimepunguza nakaa wiki 2 au tatu. Ni miji mingi nimetembea. Illa katika Africa na baadhi...
  13. S

    Fainali ya Ligi kuu ya mbio za mabasi Tanzania (Sauli vs New Force/ Golden Deer) na lori la mafuta, serikali imejifunza nini?

    Mabasi hayakamatwi wanayo yamiliki wanamalizana na Traffic ikitokea ajali wiki moja au mbili wakali baadaye yale yale, Watanzania wanasahau. Nimetembea miezi hii sana ara kuu Dar - Tunduma. Dar - mombasa n.k. all most miezi nane nilikuwa ns kazi. Wenye magari madogo ndio tunakoma killa sehemu...
  14. S

    Ombi la Haraka la Uchunguzi wa Ushindani wa Haki katika Ligi Kuu ya NBC

    Rais wa caf pia ni mmiliki wa Mamelodi Sundowns klabu ya South Africa inayo shiriki Mashindano ya Caf hassa klabu bingwa. Klabu kadhaa zimelalamika kuhusu hilo hassa kuhusu waamuzi wanaochezesha mechi zao huko South Africa.
  15. S

    'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vilivyoondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'

    Nadhani ni sahihi tu. Wananchi hawana tatizo killa wanalo fanyiwa kwao sawa tu. Wananchi wengi wao wapo radhi na lingine na mengine yaje tu. Kwa hali ya sasa ni kuomba mungu na kupambana mwenyewe tu. Ukizoea maisha yanaenda, muhimu kupambana. Usisubiri muujiza kwa hali hii.
Back
Top Bottom