STATUS: Job seeker
PROFFESSION: Social Science (Sociology)
EDUCATION: Bachelor Degree
EXPERIENCE: 8 Years (5 - yrs in Management level, 2 - yrs in M&E and Data Management, 1 yr -Volunteering and intenship)
JOB LOCATION: Dar es Salaam (Parmanent), Other locations (Short time)
OTHER SKILLS: MS...
UDSM hatuna watu kama ww! ww unaonesha hata O-Level hujamaliza.. alaf sio lazima uandike kiingereza ili uonekane msomi maana kila ulipoandika kiingereza umekosea! Jikubali na kubali mahali ulipo.. UDSM sio peponi ni chuo kama vyuo vingne jitihada zako tu ndizo zitakupeleka hapo! Soma
Sap na Disco zipo nyingi kwa sabab chuo hakitak mchezo kinataka wanafunz wanaojituma na wanaojitambua na wanaoweza kukiwakilisha chuo vyema wawapo nje ya chuo.. wanafunz weng wa ckuiz tunafany mchezo na chuo na ndio maana haya yanatokea! Binafsi sioni tatizo hapo zaidi zaidi naona wewe unataka...
1. Ni SOCIOLOGY and not SOCIALOGY.
2. Nina waswas kidogo na ulichokiandika kama ni ukwel kwa7b hakuna mwanafunz anaejielewa akaulizia kuhusu ajira akiwa mwaka wa mwisho wa masomo na kama ni kweli basi kaka yako sio mfano wa kuigwa..
3. Ushindani wa ajira ni mgumu kidogo unaposoma course hyo...
African Music Magazine Awards (AFRIMA) imetoa nominees wanaowania tuzo mbalimbali barani Africa! Kwa upande wa Tanzania wasanii waliochaguliwa ni pamoja na Diamond Platnumz (5 categories), Lady J-Dee (1), Mpoto (1) , Ben Paul (1) na Shedy clever (1).
piga kura kupitia link hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.