Recent content by Surprise

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tiba ya Dr. Ndodi utapeli mwingine chini ya mwavuli wa Biblia

    Mwanzoni alivyaanza, katibu wa wizara ya afya alisema kupitia kipindi cha asubuhi TBC kuwa alipigwa marufuku kwa kukiukwa maadili ya utabibu ya kutangaza dawa zake kwenye vyombo vya habari. Kwa muda hakuonekana akiwahadaa wananchi, mara ghafla akaanza tena kuonekana,sijui ni nini...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ukizabwa kibao hadharani...

    Nani aliyemuoa mwenzake hapo?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nilikua siijui jamii Forums

    Mda umeniishia, kesho tutachati. Asanteni.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nilikua siijui jamii Forums

    Kwani kunaubaya gani watanzania wakiijua jamiiforums?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nilikua siijui jamii Forums

    Sijatumwa na mtu ila jana niliambiwa kuwa jamiiforums inauchochezi.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nilikua siijui jamii Forums

    Jukwaa la wakubwa halifunguki.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nilikua siijui jamii Forums

    Kumbe ni ya tangu 2006, halafu haifahamiki. Asante makamu mwenyekiti wangu kwa kunifungua macho.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nilikua siijui jamii Forums

    Hivi kulipia tangazo kwenye vyombo vya habari ni shilingi ngapi mpaka hii jamiiforumu inashindwa kujitangaza? Wengi hawaijui kabisa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nilikua siijui jamii Forums

    Nzuri tu mkuu, za chama, tunaendelea kukisafisha chama.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nilikua siijui jamii Forums

    Asanteni kwa kunikaribisha, sehemu gani nzuri za kujivinjari humu?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nilikua siijui jamii Forums

    Unapigia hodi wapi?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nilikua siijui jamii Forums

    Jana Makamu wetu Pius msekwa alituambia kuwa jamii forums inakipaka matope chama chetu. Baada ya kuulizia kwa wafanyakazi wenzangu,jamiiforums ni kitu gani,,nimefanikiwa kuelezwa na kujiunga rasmi leo. Nimesoma post zote, mbona sione uchochezi wowote?
Back
Top Bottom